morogoro

  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais Samia ashiriki Mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Julai 8, 2021 anashiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku Mbili Mkoani Morogoro. Updates: Salamu za wanawake wa CCT i) Ukatili kwa kijinsia Tunakushukuru kwa jitihada na...
  2. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    RAIS Samia. Morogoro tunashida hizi; KIWANDA CHA MAZAVA KUFUNGWA Kiwanda hiki kilikuwa kinatengeneza nguo(jezi), kiliajiri zaidi ya watu elfu kumi(10000) Kwa sasa kimefungwa kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuelewana na serikali ya awamu ya tano katika suala la ulipaji kodi. Kimsingi hakuna...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Ziara ya Rais Samia Mkoani Morogoro

    Wakuu salaam, Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo. Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro...
  4. N

    JamiiForums Tanzania RC Morogoro, waondolee adha wanayopata wananchi wa tarafa ya Magole na kata ya Mbigiri

    Kuna viongozi hawa wawili toka kwenye eneo hilo wamekuwa kero kubwa sana kwa wananchi wa eneo husika. Maeneo haya mawili yapo kwenye tarafa moja na wilaya moja. Ndg. Nchimbi ndiye mkuu wa Tarafa hiyo, lakini utawala wake ni wa fimbo ya chuma akishirikiana na polish dumila na wana CCM wa eneo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naulizia frequency za Wasafi fm Morogoro

    Wadau mwenye kujua frequency za Wasafi Fm kwa mkoa wa Morogoro anisaidie
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote, nipo Morogoro

    Habari wakuu, Nahitaji kazi yoyote kwa sasa, kiwango cha elimu yangu ni shahada ya ualimu. Ila nipo tayari kufanya kazi yoyote nipo Morogoro maeneo ya Oil Com.
  7. Realbest

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu hospitali ya Wilaya Morogoro Vijijini

    Habari za humu wakuu? Hivi kuna mtu anayeifahamu hospitali ya wilaya ya Morogoro Vijijini na mazingira yake Kwa ujumla? Kuna mdogo wangu kapangiwa kituo cha kazi huko . Napenda kujua jiografia yake Kwa ujumla pamoja na wilaya ilipo. Pamoja na changamoto zake Kwa ujumla.
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magari sita ya abiria yakamatwa yakiwa na misiba feki

    JESHI la Polisi mkoani Morogoro limekamata mabasi sita yakisafirisha abiria yakiwa na mashada ya maua kuashiria yanasafirisha majeneza yenye miili ya marehemu wakati ni uongo. Mabasi hayo madogo yalikamtwa usiku wa kuamkia jana katika kizuizi cha polisi kiliyowekwa eneo la Kingolwira katika...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa. Na taarifa...
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 5 wapoteza maisha, wengine 24 wajeruhiwa katika ajali ya gari

    Wakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster. ===== Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la...
  11. ofisa

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Msando DC Mpya wa Morogoro, nakuomba ufanye haya

    Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili. Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia vinavyohitajika. Naomba ukae na meneja wa TARURA nae mgeni, DED atakayeteuliwa, RC mgeni, TANROAD na...
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    Habarini ndugu zangu, Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo. Kuna mtu...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

    Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates. A machinga is a small trader of no fixed abode. Machinga angeweza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bei za fremu Morogoro Mjini

    Habari zenu, Naomba kujua bei za fremu Morogoro Mjini mitaa ya karibu na soko kuu. asante
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

    Huu ndio uzuri wa Chama cha siasa kinachosimamia misingi ya haki, huwa mnajiachia tu kwa vile hakuna kulogana wala kinyongo. Hebu jionee mwenyewe.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

    Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo. Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mashamba 86 kufanyiwa upekuzi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameagiza kufanyika upekuzi wa mashamba 86 yasiyoendelezwa katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ili yatakayobainika kutoendelezwa, mapendekezo ya kufutwa yapelekwe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani. Waziri Lukuvi alitoa agizo hilo leo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Vijana 34 wakamatwa kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki

    Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia vijana 34 kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki ambapo jumla ya pikipiki nane zinashikiliwa na jeshi hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilimu, amesema kuwa watu hao wamekamatwa katika maeneo...
  19. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Papa Fransisko amteua Padre Lazarus Vitalis Msimbe kuwa Askofu wa Jimbo la Morogoro

    Taarifa Kutoka Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania. Padre Lazarus Vitalis Msimbe ameteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo katoliki Morogoro. Uteuzi huo umefanywa na Papa Fransisko na kutolewa taarifa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Mei 31, 2021 Lazarus Msimbe alizaliwa Desemba 27...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Napendekeza barabara ya Morogoro ikikamilika ipewe jina la Hayati Magufuli

    Ili kuenzi Jitihada za Hayati Magufuli katika upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mwisho hadi maeneo ya Kibaha kwa njia 8, endapo ujenzi wa barabara hiyo utakamilika napendekeza kwa heshima na kwa kuzingatia jitihada kubwa aliyoifanya Hayati Magufuli basi barabara hiyo iitwe...
Back
Top Bottom