morogoro

  1. Z

    JamiiForums Tanzania MORUWASA Morogoro na ufisadi wenu na wanasiasa

    Kama kawadia yangu napenda kula raha kila wakti noti zikijaa mfukoni. Jana nilikuwa Morogoro kwenye hotel ya Mbunge Shabib, inaitwa MORENA, njiani kabisa pale Msamvu. Hotel Porsche sana! Kilichonishangaza, maji ni ya kumwaga ukilinganisha na maisha yetu ya Dar. Lakini pia Moro maji ni shiiida...
  2. Hon John Joseph

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando apongezwa kwa utendaji kazi

    Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepongezwa kwa utendaji kazi wake kuwa kwa kipindi kifupi umeleta mabadiliko mazuri kiutawala na hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi na wakazi wa wilaya ya Morogoro Mjini. Hayo yamezungumzwa na Waheshimiwa Madiwani katika kikao Cha Baraza la...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kidato cha 5 na 6 Morogoro Sekondari hawana maji, Wagoma kuingia darasani

    Deni kubwa maji toka Moruwasa limesababisha shule ya sekondari Morogoro kukosa maji. Kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitumia maji ya kisima kilichochimbwa na taasisi moja ya kiiislam, yenye maji chumvi ambayo hutumika hata Kwa kunywa. RAS Morogoro amuru moja toka Moruwasa litatue tazizo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Morogoro kila siku umeme kukatika, kwanini?

    Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana. Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Morogoro a sleeping giant

    Morogoro is a sleeping giant, Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo
  6. opondo

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro. Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale Sokoni nilikua naomba kufahamishwa chimbo la Mchele kwa Morogoro. Nilikua nafikiri niende mbali...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabasi ya Abood kuingia gereji Morogoro una faida gani?

    Mabasi ya kampuni ya Abood yanayotokea popote, yakifika Morogoro, lazima yapitie kwenye yard yao. Abiria wote mnashushwa nje ya geti. Basi linaingia ndani, sijui linaenda kufanyiwa nini? Halafu baada ya dakika kadhaa linatoka. Abiria mnapanda tena kuendelea na safari. Hapo nje hakuna sehemu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta "Wall TV show Decorator" kwa morogoro

    Wakuu habari.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama wewe ni mtaalam wa decoration ya TV show kwa ukutani na uko morogoro mjini nitafte PM nikupe kazi
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Airtel Customer Care Branch ya Morogoro mjini mbadilike

    Nawashauri Airtel Customer Care Branch ya Morogoro mjini mbadilike, ikibidi basi uongozi utoe mafunzo ya ku smile au hata kutumia dawa maalumu (stimli) ya kuwawezesha watu wa front desk kutabasamu wanapoongea na wateja wao, kumkunjia uso mithili ya uso wa mbuzi na kutomjibu mteja hakustawishi...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Dharura Makunganya Morogoro; Kuna roli la mafuta limeharibika na kuziba njia. Polisi wahini

    Polisi Morogoro wahini pale wanapokaa trafiki Kuna lori limeziba njia na pana kona kali na mteremko. Ni hatari Sana RTO Morogoro fuatilia.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ubora duni wa viongozi wetu: Niko mjini Morogoro, MORUWASA ni mfano wa uongozi mbovu

    Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji. Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Soko la Kingalu Morogoro lina Paking ndogo sana

    deleted
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Terminal pub morogoro

    Kuna mwamba yeyote mwana jf aliyeko hapa muda huu ? Ila tusitafutane tujuane tu Kama tupo hapa.
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro

    Muda huu inaendelea Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro hapa st Peter's Morogoro. Tamko la kipapa linasomwa kwa kilatini halafu litarudiwa kwa kiswahili. Sasa linasomwa kwa kiswahili.
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Soko kuu la kingalu Morogoro mjini wanazindua vizimba vya nje leo

    Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watoto zaidi ya 1200 wapatiwa ujauzito ndani ya mwaka mmoja

    Afisa Ustawi wa Jamii mkoani Morogoro, Jesca Kamugela amesema Matukio ya mimba na ndoa za utotoni yamezidi kuongezeka katika mkoa huo ambapo katika kipindi cha mwaka mmoja 2020/21 ya watoto 1,277 wamepata ujauzito kulingana na matukio yaliyoripotiwa. Halmashauri zote za Morogoro zimekuwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco Morogoro kila mara ni kuomba radhi tu?

    SHIKRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO. TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MOROGORO. Shirika la umeme Tanesco linaomba radhi wateja wetu wanaotumia laini ya Tungia,Mzinga,Kilosa,Mikese kwa kukosa huduma ya Umeme usiku wa kuamkia leo...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma apata ajali Morogoro

    Ni Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam. Inasemekana yuko katika hali nzuri ===== MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kwa jina la Mwana FA (CCM) amepata ajali usiku huu Agosti 30 katika eneo la Mkambarani mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa...
Back
Top Bottom