morogoro

  1. Bururu

    JamiiForums Tanzania Kero: Mkuyuni Morogoro vijijini hakuna umeme

    Morogoro kijiji cha Mkuyuni hakuna umeme wiki mbili sasa, ni shida kwa wafanyabiashara.
  2. Ruyama

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya 5 Kingolwira Morogoro hatuna umeme

    Hatujapewa taarifa nini shida, yaani samaki kwenye friji tumekaanga wote. Saluni na wachomelea vyuma[emoji44]amaa kweli Magufuli tutakukumbuka TANESCO
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

    Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Usipovaa barakoa Stendi ya mikoani ya Msamvu faini yake ni Shilingi elfu 50

    Kama wewe ni mgeni basi ni vema ukalihifadhi onyo hili lililotolewa na uongozi wa kituo hicho ---- Uongozi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Msamvu mkoani Morogoro umeanza kutoza faini ya Sh50,000 kwa mtu atakayeingia au kutoka kituoni hapo bila kuvaa barakoa na kunawa mikono. Meneja...
  5. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Farm for sale Morogoro Town

    Clean title deed 150 acres 400 millions TSH Well developed area 7 kilometres from Morogoro Town Few minutes from Morogoro Dodoma road Ideal for Agriculture or any investment Mkundi/Makunganya/Nguru Ranch Morogoro Town Tanzania +255714908121
  6. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
  7. L

    JamiiForums Tanzania True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Habarini za leo wanaJF Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
  8. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa la kilimo Mvuha Morogoro

    shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2 ni eka 49 lina hati yakimila limepimwa na GPS...
  9. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Wahi shamba la uwekezaji Morogoro: Ekari 49 zinauzwa kwa bei poa

    Shamba limelimwa mara mbili ni safi hati ipo ya kimila. kila eka ni laki 5 na nusu MAELEZO YA SHAMBA wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar Masaa ma4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2 lina hati ya kimila...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Katibu Mkuu CCM atembelea mradi wa treni ya mwendokasi kipande cha stesheni ya Kilosa - Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021. Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam #KaziInaendelea #ChamaImaraSerikaliImara
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mngeta, Mlimba: Wananchi walioshindwa kununua mita za maji kutozwa 10,000 kwa mwezi kuanzia Julai, 2021

    Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki! Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
  12. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Moto wateketeza kituo kikubwa cha kupozea umeme cha TANESCO

    Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TARURA: Ni kweli Daraja la Mto Mngeta lilitumia Tsh. milion 31

    SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo. Mhandisi Robert Magogo ambaye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua Kisaki heka 50 - 200

    Wadau wasalaam! Nataka kuanza kilimo kikubwa maeneo ya kisaki, morogoro. Natafuta shamba la kununua eka 50 mpaka 200. Naomba offer au ushauri kwa yoyote mwenye ufahamu wa eneo hili. Asanteni.
  17. KITAULO

    JamiiForums Tanzania Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Famasi mkoani Morogoro

    Mimi ni mfamasia nipo Morogoro, nahitaji kupata famasi ya kusimamia ndani ya Morogoro. Mawasiliano: 0768320534
  19. JJoh

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna bora na ya kisasa kupambana na janga la moto

    SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA Historia Fupi yakweli: Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la kampuni ya “LIM SAFARI’S” lilishika moto eneo la MANGA. Uhalisia moto ulianza mdogo sana lakini...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa mkoani Morogoro

    Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
Back
Top Bottom