Morogoro: Watu saba wakutwa wakitembea utupu

Bravo snr

Senior Member
Aug 16, 2020
182
472

HALI ya taharuki imewakumba wakazi wa kijiji cha Mvuha Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro baada ya watu saba kukutwa wakitembea barabarani bila nguo huku tukio hilo likidaiwa kuusishwa na imani za kishirikina.​

3229cd169a227641fc31f38f6f0c60c6

Tukio hilo ambalo picha zake zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii linadaiwa kutokea juzi Aprili 7 mwaka huu ambapo baadhi ya mashuhuda walieleza kuwa watu hao wanadaiwa ni wa familia moja na haijajulikana sababu hasa ya kufanya kitendo hicho

Mmoja wa mashuhuda hao, Idrisa Kamota mkazi wa Mvuha aliieleza Nipashe kuwa siku ya tukio alfajiri wakiwa katika shughuli zao za kawaida walishaangaa kuona kikundi cha watu hao wakiwa katika mstari mmoja bila kuwa na nguo ndipo zikaanza jitihada za kuwazuia wakisaidiana na vyombo vya dola na Serikali.

“Walikuwa watu saba watoto watatu na watu wazima walikuwa wane, tulijaribu kuwazuia wasiendelee na safari bila mafanikio hadi wakaja polisi walipowahoji hawakuongea chochote ikabadi wawavalishe nguo na kuwaelekeza warudi walipo toka” amesema Kamota
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo mwenyekiti wa kijiji cha Mvuha Juma Ndunda ambaye pia ni ndugu na familia hiyo, amesema tukio hilo limehusisha familia ya Selemani Mvange akiwa na mke wake, watoto wake wawili na mama yake mkwe pamoja na shemeji zake wawili ambao alikuwa akiishinao nyumba moja.
 
Nikiwa nasoma Mbeya na kina Myco, na Mwambene tulipanga kwenye nyumba ya mtu tuliyempa jina la Limfukuche.

Kila siku saa nane hadi tisa yeye, mke wake na watoto wake wote, walikuwa wakitembea uchi huku wakiongea lugha isiyoeleweka.

Hawa watu walikuwa ni waumini waaminifu wa dini ya sabato, walikuwa pumbavu kabisa, eti walitaka ikifika jumamosi wazime umeme, tusipige muziki
 
KWA hiyo Leo wamependezaaaaa na nguo mpya kwa msaada wa Polisi?
 
Nikiwa nasoma Mbeya na kina Myco, na Mwambene tulipanga kwenye nyumba ya mtu tuliyemoa jina la Limfukuche.
Kila siku saa nane hadi tisa yeye, mke wake na watoto wake wote, walikuwa wakitembea uchi huku wakiongea lugha isiyoeleweka.
Hawa watu walikuwa ni waumini waaminifu wa dini ya sabato, walikuwa pumbavu kabisa, eti walitaka ikifika jumamosi wazime umeme, tusipige muziki
Sijawahi amini sabato ni dini,yaani ni full wanafiki hamna Mungu mule...haya ni maoni yangu binafsi
 
Nimezungukaaaa nilijua ntakutana na picha ila wapiiiiiii...............kwahiyo picha imezunguka katika mitandao ya kijamii lakini mtoa mada we hujatuwekea hapa ................hatukuamini
 
Back
Top Bottom