morocco

  1. B

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ziarani Morocco

    18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco, Mhe. Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo zilizopo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kushirikiana na Morocco Katika Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri kuhusu ushirikiano baina ya Tanzania na Morocco katika Sekta ya Michezo. Kikao hicho kimefanyika Septemba 13, 2023 katika ofisi ndogo za Wizara...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE. Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tetemeko laipiga Morocco, zaidi ya Watu 2000 wafariki Dunia, majeruhi waongezeka

    SEPT 10, 2023 Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani, hadi sasa Watu 2,012 wamefariki dunia huku wengine 2,059 wakijeruhiwa na 1,404 wako katika hali mbaya kiafya. Shirika la Afya Duniani limesema zaidi ya Watu 300,000 wameathirika na Tetemeko hilo lililopiga maeneo kadhaa ya Jiji...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 24 wafariki katika ajali ya barabarani Morocco

    Basi dogo lililokuwa limewabeba watu waliokuwa wakienda sokoni nchini Morocco limetumbukia kwenye korongo leo Jumapili, na kuua watu 24 katika mojawapo ya ajali mbaya zaidi za barabarani katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika, maafisa walisema. Abiria hao walikuwa wakisafiri kwa njia ya...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Samahani, hii Ongea ya Kocha Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco ni Kawaida au Anabwia Poda?

    Mimi kila nikimsikia akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari haraka sana Akili yangu hunipeleka kudhani ( kuhisi ) labda ni Mtumiaji wa Dawa za Kulevya. Ninaomba Radhi Wote kwa hili Swali.
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na drones wakati wa mazoezi yenu Casablanca

    Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata Tunisia ambako hali ya hewa haitofautiani sana na ya Morocco halafu Simba waingie Casablanca siku moja...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha in advance Kipa Kinda wa Simba SC Ally Salim kwa Goli nyingi atakazofungwa Morocco

    Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya. Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatembeza kichapo kwa Morocco na kutwaa ubingwa fainali za Mashindano ya Shule za Sekondari barani Afrika

    Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya wasichana ya "Ecole Omar IBN Khatab" kutoka Morocco kwa magoli 3-0. Timu ya Fountain Gate imetwaa taji...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Morocco Derby: kati ya Wydad na Raja ipi ni timu yenye ushindani zaidi?

    Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco, Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee uzoefu wenu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Simba Kuondoka Leo Tayari Kuikabili Raja Morocco

    Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.
  16. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

    Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania. Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Morocco kuomba kuandaa Kombe la Dunia 2030

    Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010. Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa mwenyeji wa michuano hiyo lakini safari hii wanatarajiwa kuomba waandae kwa ushirikiano na Hispania...
  18. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

    Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION. Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6. Sasa huyu aliyefungwa 3 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Mwanamuziki wa Morocco ahukumiwa miaka 6 jela kwa kesi ya Ubakaji

    Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016. Mara baada ya hukumu kusomwa Jijini Paris, Lamjarred hakuonesha mwitikio wowote na muda mfupi baadaye akawekwa...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Yanga alitoka droo na raja hapa DSM mwaka 1998

    Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je, Morocco watapigwa ngapi?
Back
Top Bottom