mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania "Majibu ya Mnyika : Rais Samia Asisitiza Haki, Uwajibikaji na Uchunguzi Huru"

    TISS na Polisi Hufanya Kazi Kulingana na Sheria: Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Jeshi la Polisi hufanya kazi chini ya sheria na taratibu za nchi, zikiwa na taratibu za kiuchunguzi zinazozingatia haki. Kuwatuhumu moja kwa moja bila ushahidi wa wazi ni kinyume na misingi ya haki na sheria...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnyijka watangazieni watu hali ya kada wenu mzee Kibao

    Ndugu Mnyika. Nakusalimu Juzi uliitisha press conference na kuwatangazia wananchi juu ya kutekwa kwa msaidizi wako mzee Kibao. Sasa kwa kuwa binadamu huwa haishi peke yake bali ana majirani zake taarifa zinazotoka nyumbani kwa mzee Kibao siyo nzuri. Hebu sasa njoo hadharani uwatangazie wana...
  3. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilitaka kushangaa Nchimbi athubutu kukaa meza moja na Mnyika! Ataongea nini?

    Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini! Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na yanafanyika vizuri kabisa? Kwanini sio huku kwetu? Je, ni uoga? Chuki? Kutokujiamini? Kukosa sera? PIA...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

    Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu. Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Namtafuta John Mnyika wa mwaka 2005-2020, je ni muumini wa kanuni ya "kutoongea wakati wa kula"?

    Namtafuta J.J. Mnyika wa wakati huo, sio huyu ambaye yuko cloned. Mnyika yule aliyekuwa anajenga hoja nzito, Mnyika yule akiwa hana madaraka ya chama, hamalizi muda hajatoa "jiwe", Mnyika yule mtafiti, msomi wa Maua Seminary aliyepata Division One ya "A" masomo yote. Nini kimemfanya awe kimya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wasenegal wameikabidhi nchi kwa vijana Faye na Sonko. Wacha tuone kama wamebutua au wameupiga mwingi

    Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi. Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM. Sasa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania J Mnyika, Aunguruma Channel TEN, Athibitisha maridhiano yameisaidia Sana CHADEMA, Sasa Inayatambua Matokeo, Inalitambua Bunge na Kumtambua Mbunge Wake

    Wanabodi Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi. Kwa wale ambao bundle sio...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tukitaka kuongeza idadi ya wapiga kura imani katika mifumo ya uchaguzi iongezeke

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani na mifumo ya uchaguzi nchini. Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  11. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pendekezo la CHADEMA No.5 Lililowasilishwa na Mnyika kuhusu Wabunge Liko Sahihi kwa Vigezo hivi

    Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa Wabunge wa Majimbo wako 264 na vipi tukisema waongezeke hiyo si itakuwa 528 kabisa haoni kwamba tutakuwa...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

    Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo . Yaani Mhagama roho...
  13. R

    JamiiForums Tanzania John Mnyika anaongea kuhusu mapendekezo ya CHADEMA kuhusu miswada iliyopelekwa bungeni

    Salaam, Shalom!!! Hii ni dira muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Katibu MKUU wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, ndugu John Mnyika amefanya Press Conference na vyombo mbalimbali vya habari nchini Kutoa ufafanuzi juu ya HOJA mbalimbali kujibu HOJA ikiwamo Ile iliyoibuliwa na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki. Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mnyika kutoa somo la Katiba Mpya kupitia clouds Media

    Taarifa yake hii hapa . Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania. Akihojiwa na Kituo cha TV cha Washington DC, amefichua kwamba Mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mnyika anaacha bapa mezani anaenda msalani, anamuachia Mwigulu na anarudi anakunywa kwa amani

    Aisee nimetoka kusikiliza wimbo wa ROMA wa Nipeni Maua yangu ambao umetoka leo. Mashairi yake yana maneno mengi mazuri kama mnavyojua ROMA Kwenye suala la amani, amesema anatamani kuona viongozi wanaacha pombe mezani na wakirudi wanakunywa kwa amani. Japo hili limeniwazisha, kwamba mkiachaga...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee badala ya kujibu hoja ya Mnyika kuhusu Wenyeviti wa PAC na LAAC, yeye amtusi Mnyika na CHADEMA

    “Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
  19. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Nini kifuate baada ya kuitoa CCM madarakani? Swali hili ni la muhimu sana

    Taarifa huwa haziozi. Hoja hiyo kwenye mada; Iliibuliwa na siye Mwingine bali Nguli wa Siasa wa CHADEMA. Unaweza pitia hapa kwa Taarifa Bila ya Kuharibu shehena. Hatahivyo nitamnukuu kiunagaubaga..... Has Chadema Reformed? Imetoka Maktaba.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
Back
Top Bottom