mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

    Naam. Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha. === Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao. Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Mnyika ndiye anawasilisha NEC majina ya wagombea wa CHADEMA,uteuzi wake unapingwa, Msajili wa vyama akimtengua, its over!

    Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo. Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi. Hata hivyo, kuna mwanachama anasema kwamba Mnyika anashikilia nafasi ya Katibu Mkuu kinyume cha sheria, na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Msajili aeleze kitendo cha CCM kukiuka Katiba ya CCM wakati wa kumteua Mgombea Urais

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika. Amesema hayo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

    Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka. Soma Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025 Soma Pia: CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis...
  7. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  9. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asema kazi ya Ukatibu Mkuu haiwezi, anafurahi kuwa mwanachama huru

    Hii kazi siiwezi hata kidogo ,it’s not my job either my area. Ninafurahi kuwa mwanachama huru. Leadership is not a title.
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mnyika anafanya upotevu wa muda usiku uingie ili Dola imsaidie Mbowe. Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vitabu

    LISSU STUKA! Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe. Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
  11. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania DAR: Kibamba ya Mnyika nao Watangaza kumuunga mkono Lissu

    https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_ Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja. Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR, #WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
  12. R

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni moja wa Makatibu wakuu bora wa vyama vya siasa Afrika

    Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake. Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye uchaguzi na jinsi anavyoratibu uchaguzi bila kusahau anavyoweza kujibu hoja zinazoelezwa ofisini...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  14. L

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎 #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

    TANGAZO LA JOHN MNYIKA Katibu Mkuu CHADEMA napenda kuwatangazia kuwa Kamati ya Wazee Wastaafu itakayosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi itahusisha Wazee Wastaafu wafuatao: 1. Ahmed Rashid 2. Alfred Kinyondo 3. Prof. Azaveli Lwaitama 4. Wakili Edson Mbogoro 5. Francis Mushi 6. Lumuli...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mnyika agoma kujibu swali la Wasafi Media, walitaka athibitishe kama Mbowe ni muongo

    Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana. Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kijana John Mnyika apongezwe kwa uzalendo wake!

    Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika. Huyu ni mtu...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu, Mbowe, Wenje na Heche sasa ni zamu ya John Mnyika kuunguruma

    Katibu mkuu wa CHADEMA anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kesho 07/01/2025 saa tano asubuhi katika makao makuu ya chama hicho.
  19. Z

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

    Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao? Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Safu bora ya ushindi CHADEMA, Mkiti Lissu, Makamu Heche, Lema Mwenezi, Katibu Mnyika

    Hii combination hata CCM wanaomba isitokee. Sina haja ya kuandika wasifu wao kwa kirefu maana sifa zao zinajulikana, Lissu hakopeshi, Heche jasiri, Lema mwanaharakati na hana bei, Mnyika anakijua chama tangu chuoni. Mbowe awe mlezi wa chama kama alivyo Mtei.
Back
Top Bottom