John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.

..Lowassa alizingua.

..Cdm hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu afya ya Lowassa, na kama anaweza kuhimili mikikimikiki ya kampeni.

..Lowassa alikuwa hawezi kukampeni.

..kura na hamasa kwa kampeni yake zilipungua kadiri muda ulivyokuwa unakwenda.
Lowassa angekuwa na nguvu zake kama wakati anajiuzulu uwaziri mkuu, uchaguzi wa 2015 pangechimbika!
 
Hivi Lowassa alinza hasa kuugua lini? Nakumbuka wakati anajiuzu 2008 alikuwa mzima kabisa.
 
Lowassa angekuwa na nguvu zake kama wakati anajiuzulu uwaziri mkuu, uchaguzi wa 2015 pangechimbika!
Hatuna mfumo wa kuwezesha chama kingine zaidi ya CCM kutangazwa mshindi ...

Yaani uchaguzi ukifanyika
CCM akapata mfano kura 300,000
CDM akapata mfano kura 450,000

Mfumo wetu wa kutangaza matokeo utasema CCM ameshinda ... Kwa hiyo suala la urais CCM hawako tayari hata kidogo kukubali kushindwa
 
..Lowassa alizingua.

..Cdm hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu afya ya Lowassa, na kama anaweza kuhimili mikikimikiki ya kampeni.

..Lowassa alikuwa hawezi kukampeni.

..kura na hamasa kwa kampeni yake zilipungua kadiri muda ulivyokuwa unakwenda.
Lowassa alizingua vipi halafu akaondoka na kura zaidi ya milioni 4!, huko kuzingua kwake umekupima kwa kipimo kipi? au cha Lowassa mwenyewe!

Kama ndivyo hapo nitakuelewa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
..alikuwa hawezi kukampeni kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

..naamini changamoto zake za kiafya ndio chanzo cha yeye na Chadema kukosa ushindi.
 
Huku Erythrocyte huwezi kumuona
Kwanini nisionekane ? iko hivi , kwenye jambo la wengi huamui tu utakavyo wewe , bali wengi wakisema ndio huwezi kukataa , utachagua kuwaunga mkono au kunyamaza , mimi nilimpinga mno Lowassa , lakini wengi walipomkubali ndani ya chama chetu , nikaamua kuwaunga mkono kwa Maslahi ya chama , huo ndio ukomavu
 
Back
Top Bottom