mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Wakala: Muongo mmoja wa kuwezesha Jamii na kuboresha maisha nchini

    Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Ericky Willy (wapili kushoto) akimkabidhi mshindi wa mwezi wa tano wa kampeni ya “CRDB Wakala 10 na Kitu”, Joshua Lembeli Loketa kadi ya Bajaj baada ya kuongoza kwa Idadi ya miamala katika kampeni hiyo. Wengine pichani ni baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB...
  2. JamiiForums Tanzania Bustani ya Mnazi Mmoja ina kazi gani?

    HEBU TUZUNGUMZE HILI, ILE BUSTANI YA MNAZI MMOJA (Kwenye Mnara wa Uhuru) Pale Dar es salaam hususan City Centre i.e Kariakoo, Mnazi Moja. Kwa haraka haraka hakuna sehemu mfano wa Garden ya watu walau kuweza kupumzika from mihangaiko na mizunguko ya mjini. Hakuna pia open space ambayo mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Kwanini Tanzania haipigi hatua kimaendeleo kama inavyostahili

    Maendeleo, ni hali ya kutoka hatua moja hadi hatua nyingine ambayo ni bora kuliko ile ya awali. Hatua hizo ni zinaweza kuwa ni za kiuchumi,kijamii au kisiasa. Maendeleo hujumuisha maendeleo ya mtu mmoja mmoja,taasisi au nchi. ambapo maendeleo ya nchi au taasisi yanategemea sana maendeleo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya kutembeza vitumbua au mayai Kariakoo, Mnazi mmoja na Posta

    Habarini Wana JF,, Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara. @everyone
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Nyuki waua mmoja Sumbawanga

    Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano kulikuwa na Tundu Lissu Mmoja, awamu hii kuna akina Tundu Lissu 1000

    It is trending now. Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi. Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe. Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki. Mdogo...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
  10. JamiiForums Tanzania #FIFAfrica23: Muongo mmoja wa kujenga jumuiya ya Kuchagiza Haki za Kidigitali Barani Afrika!

    Jukwaa la kila mwaka ya Uhuru wa Mtandao(internet) Barani Afrika (FIFAfrica) iliyoandaliwa na Ushirikiano wa Sera za Kimataifa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Afrika Mashariki na Kusini (CIPESA) itafanyika Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 27 hadi 29 Septemba 2023. Mwaka huu...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

    Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno. DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu. Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu. Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya Wizara ya Fedha na TRA mmoja kadanganya mahesabu kwenye ripoti ya mapato 2022/23

    Habarini waungwana! Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza. Kipindi waziri wa fedha anaiwasilisha hotuba ya bajeti mwaka 2023/2024 katika kipengele 'IV. Tathimini ya utekelezaji wa bajeti ya serikari kwa mwaka 2022/23 alieleza serikali ilitaraji kukusanya trilion 41.48 kutoka vyanzo vya ndani na...
  14. JamiiForums Tanzania Kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani?

    Najiuliza tu, kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani? Nawapongeza "wazee wa kuvujisha" Ninyi mmefanya kazi kubwa sana, tumejua hali halisi 😂. Nawaomba sana "wazee wa kuvujisha" zoezi hili liwe endelevu, maana mikataba ilisainiwa mingi sana. Tunawaomba msikate tamaa...
  15. JamiiForums Tanzania Nimekaa ushuani kwa miaka mingi, sasa nimehamia uswazi. Kuku wa huku wataniua

    Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia. Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yasaini mikataba minne ya makubaliano na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja

    Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja. 1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA 2. Ushirikiano na Posta Tanzania 3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS 4. DP World na TPA
  18. JamiiForums Tanzania Nani mpambanaji kati ya Mama Caren na Mama Grace? Chagua mmoja

    NAOMBA KUJUA KATI YA HAWA WANAWAKE WAWILI NANI MPAMBANAJI? YANI NATAKA UMTAJE MMOJA TU UNAYEMUONA NI MPAMBANAJI SITAKI MAMBO YA OOO KILA MMOJA KWA NAMNA YAKE. NATAKA USEME NI MAMA CAREN AMA MAMA GRACE ASANTENI. *MAMA Caren alisomeshwa na wazazi wake akiwa binti nakuhitimu masomo yake vyema...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna mfumo hata mmoja wa Patriot ulioharibiwa" Zelensky amjibu Putin

    Rais Volodymyr Zelensky ametoa maoni yake kuhusu matamshi ya Vladimir Putin kwamba jeshi la Urusi linadaiwa kuharibu mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Patriot ya Ukraine iliyotolewa kwa Kiev na nchi za Magharibi. Alitoa kauli kuhusu hili wakati wa hotuba yake ya kila siku. ‘Haijalishi ni nani...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Kila mmoja awajibike kutokomeza ufisadi nchini

    Kuna maneno matatu ambayo ni vigumu sana kuyatenganisha, hata kuyaelezea maana yake ni vigumu kumaliza bila kuhusianisha na neno au maneno mengine kati yake. Maneno haya ni RUSHWA, UBADHIRIFU na UFISADI. Nataka kujikita zaidi katika dhana ya UFISADI. Nitaeleza kwa ufupi maana ya neno Ufisadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…