Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.

DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.

Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha taarifa za DED huyo kwa Rais.
DED mwenyewe ni wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Abdul Mtaka.
 
Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno.

DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu.

Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu.
Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha taarifa za DED huyo kwa Rais.
DED mwenyewe ni wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya
Afukuzwe mara moja na afanyiwe uchunguzi hasa uraia wake huyo siyo mwenzetu.
 
Mwenge faida kubwa ni uzinzi tu hakuna kingine
IMG-20230706-WA0023.jpg
 
Back
Top Bottom