mlima kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa msiofahamu mlima kilimanjaro unapumulia mlima rungwe ukiuziba mlima rungwe kilimanjaro inalipuka.

    Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro. Kwa leo ni hayo marry christmass. Superbug
  2. JamiiForums Tanzania Wazo: Viongozi waYanga wapeleke Bango Mlima Kilimanjaro

    Jambo hili lisiishe hivi hivi, ni lazima watalii wajue kilicho tokea. Bango la 5G lipelekwe kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Africa, pia bango liwekwe kwenye malango yote ya hifadhi za taifa na mbuga za wanyama. Ni muhimu pia kuweka kwenye international airports, bandari (Boss la DP...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

    Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
  4. JamiiForums Tanzania Moto mlima Kilimanjaro waingia siku ya 7 huku juhudi za kuuzima zikiendelea

    Mamlaka nchini Tanzania kwa kushirikiana na wananchi wanapambana kuzima moto uliozuka katika eneo la Indonet-Rongai lililopo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA). Mpaka sasa chanzo cha moto huo ulioanza Jumapili iliyopita bado haujafahamika ambapo tayari umeteketeza ukanda wa juu...
  5. JamiiForums Tanzania Haya ni madini aina gani?

    Mwenye ufahamu na mambo ya Mawe au madini naomba msaada wa Mawe haya ni Aina gani?. Nimeyatoa Mlima Kilimanjaro
  6. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Simba wezindulia jezi zao kwenye like cha Mlima Kilimanjaro

    Kwa wale wasio jua, Mlima Kilimanjaro ndio Mlima mrefu kupita yote duniani. Kwa wale walio karirishwa la saba b watasema " Mlima Himalaya/Everest ndio Mlima mrefu kupita yote duniani" Ni hivi Mount Kilimanjaro is the most FREE STANDING tallest mountain in the world Mount Everest is a mountain...
  7. JamiiForums Tanzania Suala la Simba kuzindua jezi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro sio suala la kimichezo ila ni la kiroho litakaloathiri sana siasa za Taifa letu

    Wasalaam. Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes. Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje? --- Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari. Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Bendera ya CHADEMA juu Mlima Kilimanjaro. Act wazalendo muone wivu

    CHADEMA ipo juu. Zitto na wapambe wako mtabakia midomo juu.
  10. JamiiForums Tanzania Watalii wenye Figo 1 waanza kupanda mlima Kilimanjaro

    Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji. Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
  11. JamiiForums Tanzania Jirani Zetu Hawajanyang'anya Mlima Kilimanjaro Pekee Hata Waimbaji

    Sina haja ya kueleza hii inajieleza
  12. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro haujaheshimika kutowekwa kama nembo kwenye noti ya elfu10

    Hello hello, Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania. Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
  14. JamiiForums Tanzania TANAPA: Ripoti imebaini chanzo cha moto Mlima Kilimanjaro ni shughuli za kibinadamu

    Kamishna William Mwakilema Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam. Kitengo cha usalama cha TANAPA...
  15. JamiiForums Tanzania Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA). Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Juma Makoa amepongeza Wizara kwa kuboresha miundombinu katika eneo la...
  16. JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  17. JamiiForums Tanzania UN yautaja Mlima Kilimanjaro kuwa mmoja wa milima itakayopoteza barafu yake mwaka 2050

    Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
  18. JamiiForums Tanzania Moto walipuka tena upya ndani ya Mlima Kilimanjaro

    Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu? Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini ---------------- Picha ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  20. JamiiForums Tanzania Moto uliowaka Mlima Kilimanjaro kwa wiki nzima wadhibitiwa

    Moto uliozuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania karibu na eneo la Karanga Camp umedhibitiwa huku eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2 hadi 4 zimeteketea. Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa Oktoba 28, 2022 katika lango la Mweka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…