Kwa wale wakazi wa Mji wa Moshi na maeneo ya Jirani kuanzia saa 2:30 usiku huu ukiangalia Upande wa kaskazini ulipo mlima Kilimanjaro unaonekana Moto mkubwa. Unaoambatana na Moshi mwingi.
Kama hali itaendelea bivi basi itabidi Mamlaka husika zijiandae kwa ajili ya kuzima moto huo mapema kabla...
Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022
Waziri Nape Nnauye:
Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani
Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana kwenye Mlima Kilimanjaro.
Kwenye ukurasa wake wa Twitter Waziri Nape ameandika yafuatayo ———> “Leo juu ya Mlima Kilimanjaro napandisha...
Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini.
Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro.
Mwijaku amekuwa...
aibu
arusha
bongo
bongo movie
clouds
clouds fm
kilimanjaro
kubwa
kusema
mji
mlimamlimakilimanjaro
movie
msanii
mwijaku
pekee
ulipo
utalii
wakati
watangazaji
Leo kama ilivyokatika miaka yote ni siku ya Dunia. Huwa siku hii inaadhimishwa kwa kujadiliana namna gani tunaweza kuifanya dunia iendelee kuwa sehemu salama ya kuishi. Changamoto zote na namna ya kuzitatua kufuatia mabadiliko ya tabia nchi.
Nimefarijika kuona mlima Kilimanjaro leo utafahamiaka...
Kwa sasa Mlima Kilimanjaro ni kama unapeform chini ya kiwango kwa sababu mapato yanayopatikana kwa mwaka hayaendani kabisa na hadhi ya mlima huo duniani
Ni vema akatafutwa mwekezaji mwenye uzoefu akaja kutuendeshea mlima huu mrefu kabisa barani Afrika na duniani pia.
Maendeleo hayana vyama!
Ni maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁.
Johannes Rebmann.
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na...
Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa kasi ya barafu kuyeyuka katika milima ya Afrika Mashariki hakutakuwa na mlima utakaobaki na barafu kileleni kufikia mwaka 2040.
Milima yenye barafu Afrika Masharini ni Kilimanjaro(Tanzania), Ruwenzori(Uganda) na Mlima Kenya.
UN inatoa wito kwa nchi kupunguza...
Kwa wakaazi wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine yote kuuzunguka mlima Kilimanjaro chochote kinachotokea kuhusiana na Mlima huu ni lazima kiwaguse moja kwa moja kutokana na maisha yao kutegemea miteremko yake kwa maelefu ya miaka iliyopita. Ingawa uwezekano wa Volcano ya mlima huu kulipuka...
TWENDENI WATANZANIA TUKAPIGIE KURA MLIMA KILIMANJARO NA HIFADHI YETU YA SERENGETI.
Kwa mara nyingine tena Mlima wetu adhimu kabisa wa Kilimanjaro na Hifadhi yetu ya Taifa ya Serengeti imechaguliwa kuwania tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards 2021) ambapo Mlima Kilimanjaro umechaguliwa...
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na manung'uniko yanayoendelea kuhusu makenikia.
Husika na kichwa cha habari hapo juu tangu napata akili hadi sasa kumekuwa na maneno kuhusu mlima Kilimanjaro kuwa pale juu kileleni kuna shimo refu sana na inavyosemekana ndani ya shimo kuna maji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.