mlima kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru wafikishwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, waimba Wimbo wa Taifa

    Wakuu, Mbio za mwenge zilihitimishwa tar 14, Oktoba na wakimbiza mwenge huo kutakiwa kukamilisha zoezi hilo kwa kufika katika kelele cha mlima huo pamoja na kuweka bendera ya taifa. Wajuba walikamilisha zoezi na hapa wanaimba wimbo wa taifa kwa uzalendo mkubwa uliotukuka! Pia soma: Rais...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Hii ni theluji iliyopo karibu na kilele cha Kibo cha Mlima Kilimanjaro

    Habari Wakuu, Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa? Naombeni mtusaidie ---
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manchester United wakiongozwa na CEO, John Shiels wafika kileleni mwa mlima Kilimanjaro

    Kupitia kwenye mtandao wa Instagram Manchester United Foundation wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kileleni kabisa mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka. Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana -...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sikuwa najua kama Mwenge ukizimwa huwa unawekwa mlima Kilimanjaro

    Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya kuuwasha. Mimi nilikuwa najua unapelekwa makumbusho huko. Anayeijua itifaki ya mwenge anisaidie hapo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Barafu ya mlima Kilimanjaro ikiyeyuka yote, je hifadhi ya mlima Kilimanjaro itaendelea kupata watalii wengi?

    Habarini, Kama sikosei takwimu zinasema hifadhi ya mlima Kilimanjaro ndo inayoongoza kwa kuingiza fedha nyingi zaidi za kigeni hapa nchini kuliko hifadhi zingine. Najiuliza hivi zile barafu pale juu zikiisha, ile hifadhi itaendelea kuvutia watalii kweli🤔 Ninaposema barafu, namaanisha glaciers...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mlima Kilimanjaro unaliingizia Taifa kiasi gani cha mapato kwa mwaka? Tija ipo au atafutwe mwekezaji?

    Sijawahi kusikia CAG akielezea Taifa linafaidikaje na Utalii kwenye Mlima Kilimanjaro Labda CAG mstaafu mh Uttoh atusaidie kutupa data kupitia taasisi yake I Uwajibikaji Ahsanteni Sana Mlale Unono 😃 😄
  8. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Wazawa tusiogope kupanda Mlima Kilimanjaro

    Kati ya vitu vinavyowatia hofu waTanzania wengi wanaotamani kupanda mlima ni pale wanapoona sisi wazoefu na watu wa milima tunabeba Mibegi mikubwa kama inavyoonekana katika picha. Wanadhani nao wakija huku watabebeshwa mibegi yao. Haiko hivyo! Ukiamua kupanda mlima utakuwa na ka begi kadogo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dunstan Kitandula: Barafu inapungua mlima Kilimanjaro kutokana na kuongezeka kwa joto la Dunia

    Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa misitu imezindua kampeni ya kupanda miti zaidi ya Bilioni moja katika mikoa ya kaskazini ili kunusuru barafu ya Mlima Kilimanjaro. Kampeni hii ya upandaji miti inakwenda sambamba na utekelezaji wa mikakati ya kupanda zaidi ya miti milioni 8 kwa...
  10. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

    Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro. Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka. Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka. Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga. Kama...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kilombero sugar yapokea kundi la wapandaji mlima kilimanjaro kutoka illovo sugar africa, warejea salama na chapa ya bwana sukari kutoka kileleni

    Mhe. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasiali na Utalii, Nkoba Mabula (kulia) akiongozana pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Ndugu: Ephraim Balozi Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Sukari Kilombero Ndugu;-Derick Stanley...
  12. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha mapato katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (haswa kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  13. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha ukusanyaji na upatikanaji wa kodi hifadhi ya mlima Kilimanjaro (kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANAPA yafunga njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro kupitia Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi kutokana na mvua

    TAARIFA KWA UMMA Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha njia cha "ARROW GLACIER" ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda Mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi...
  18. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kiberenge mlima Kilimanjaro kwa faida ya nani

    Wadau wa sekta ya utalii katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha,wamepaza sauti wakitaka mchakato wa mradi wa ujenzi wa kiberenge ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro usitishwe . Kwamba mradi huo ambao utahusisha viberenge 40 katika Njia za Machame na remosho umegubikwa na changamoto...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwa msiofahamu mlima kilimanjaro unapumulia mlima rungwe ukiuziba mlima rungwe kilimanjaro inalipuka.

    Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro. Kwa leo ni hayo marry christmass. Superbug
  20. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Wazo: Viongozi waYanga wapeleke Bango Mlima Kilimanjaro

    Jambo hili lisiishe hivi hivi, ni lazima watalii wajue kilicho tokea. Bango la 5G lipelekwe kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Africa, pia bango liwekwe kwenye malango yote ya hifadhi za taifa na mbuga za wanyama. Ni muhimu pia kuweka kwenye international airports, bandari (Boss la DP...
Back
Top Bottom