mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. May Day

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa kuwaamuru Jamii moja kuondoka mkoani haijakaa sawa

    Leo asubuhi kwenye taarifa nimesikia ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Talak amewapa siku mbili Wafugaji walioingia mkoani hapo kuondoka. Kwa upande wangu sioni kama hii imekaa sawa, anachopaswa kujiuliza Kiongozi huyu ambaye ni Muwakilishi wa Raisi wa nchi hapo Mkoani kwake ni "waende wapi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya asema "Mkulima atakayekabiliwa na njaa kupelekwa mahakamani"

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi chakula waliyopewa wakati wa msimu wa mavuno. Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa msimu wa...
  3. voicer

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

    Wenye Macho tunaona!, "Rosti-Tamu"imeingia jikoni....asiyekubali kula. "Rosti-Tamu" Atafungwa na "Kamba" za "Makamba" Naona "Mjomba" Cheff maarufu wa "I-Go-Unga"sasa ameamua kufunga mahesabu ya Mwaka,ni wazi sasa "Katelephone" anaandaliwa zengwe ili adondoke! "Ma-ajali -waa!" yamesakamwa toka...
  4. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa. Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili...
  5. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Waziri Mkuu wetuu Mjaliwa Kasimu Majaliwa

    Wanajamvi wenzangu Nakusalimu sana na poleni nyote humo mlipo najua mko mkilitumikia Taifa letu. Mim Kibori Nangai Nitamtetea ,nitasimama na Majaliwa Kasimu Mh Waziri Mkuu wa Taifa letu. Sihitaji kupangiwa , Hawa wanaharakiti Uchwara hatuwataki hata kidogo Kuna huyu anayejiita Tito Magoti...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Anaandika Tito Magoti. Mheshimiwa Waziri Mkuu, Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana! Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania CMG yafanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki

    Idara ya lugha za Asia na Afrika iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) tarehe 8 mwezi Novemba ilifanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki. Shughuli hiyo yenye kauli mbiu “Safari mpya yenye...
  8. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

    Ndugu viongozi, kwa matatizo tuliyoyaona Bukoba kutokana na ajali ya precison, imeonyesha bila shaka viongozi wet na wasimamizi wa serikali wamekuwa hawajali kuwekeza katika kupamabna na majanga wakati pesa nyingi zinatumika kwenye safari na posho na wizi mkubwa. Marubani walikuwa hai kwa masaa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu, Geor Davie wa Arusha tafadhali Sana mtumishi

    Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa, Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali , Natanguliza shukrani wakuu
  13. DALA

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Katudanganya Watanzania au Mtakwimu Mkuu ndiyo Muongo zaidi?

    "Nichukue nafasi hii kwa mujibu wa Katiba Kutangaza kuwa idadi ya Watu wote waliohesabiwa Usiku wa Sensa ni 61,741,120 hivyo Watanzania kwa muda wa miaka hii Kumi tumeongezeka kwa Asilimia 3.2 tu" Rais Samia Suluhu. Chanzo: Media zote Tanzania "Taarifa iliyotolewa Juzi ya Watu 61,741,120 siyo...
  15. kadendu

    JamiiForums Tanzania Kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa

    Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa. Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba nifikishe malalamiko yetu kwako juu ya mradi wa maji ambao umehujumiwa kwa muda...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rishi Sunak: Waziri Mkuu tajiri kuliko Mfalme Charles III

    Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni mara mbili ya utajiri wa Mfalme Charles III wa Pauni 370 milioni. Utajiri wa Sunak umeelezwa umetokana...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hongera Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza

    Hongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki. 🇹🇿 #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa 20 wa CPC una umaalum gani kwa dunia?

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si kama tu yataekeleza maendeleo ya China katika kipindi kichacho, bali pia yatanufaisha dunia nzima...
Back
Top Bottom