Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Nafikiri hali si shwali ndani ya klabu ya mikia kwa sasa, kuondoka kwa babra kunaitimisha safari ya mwanamama uyu juu ya maneno mengi yaliyokuwa yanasemwa juu yake, akilalamikiwa na viongozi mbali mbali ndani ya klabu kuwa ana dharau na ni mbinafsi, kauli za manara dhidi yake zimetimia leo na...
Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao.
Lakini wewe na January mmekata umeme.
Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru.
Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu.
Soma zaidi kumhusu...
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai).
Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake.
Amejawa na simanzi kubwa. Anaonekana katwezwa, na anatamani ardhi ipasuke aingie mavumbini kuliko...
Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa.
Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho.
Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura.
Katika mkutano huo pia...
Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari.
Sasa mimi nauliza ni kina nani...
Amani iwe nanyi,
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari"
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari"
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM.
Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila...
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff ameleta faraja kwa wakazi wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora baada ya kutembelea barabara ya Mpandamlowoka-Mwaharaja na Kazaroho-Mpandamlowoka zenye urefu wa Km 90 na kusema hatua za matengenezo...
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu.
Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo.
Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi.
Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya vya maji na kuviingiza kwenye mfumo.
Amesema kuwa licha ya kuongezeka kwa kiwango cha maji kwenye mfumo wa uzalishaji na usambazaji, wasilale bali waendelee kuwatumia...
Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao.
Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.