Kenya 2022 Kenya: Facebook yafuta maelfu ya machapisho kwa kukiuka sera zake kuelekea Uchaguzi Mkuu

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake.

Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa miezi sita kabla ya tarehe 30 Aprili.

Pia imekataa matangazo 36,000 ya kisiasa kwa kutofuata sheria zake za uwazi.

Hatua hii ni baada ya Kampuni ya Ushauri ya Uingereza mwaka 2018 kudai ilitumia Facebook kuvuna taarifa binafsi za Wakenya zilizomsaidia Rais Kenyatta kushinda katika uchaguzi wa mwaka 2017.

=========

Technology giant Meta has taken down thousands of posts targeting Kenyan users on its social media platform Facebook for violating its policies ahead of the August elections.

Four years ago, bosses at the now-defunct British consultancy firm Cambridge Analytica were apparently caught on camera boasting of the control they had exerted in Kenya's disputed 2017 presidential poll, and their company was accused of mining Kenyans' personal data on Facebook to help President Uhuru Kenyatta win.

Facebook now says in a new report that it has pulled down more 37,000 posts for promoting hate speech and 42,000 for violating its violence and incitement policies, in the six months leading up to 30 April.

The firm also says it has rejected 36,000 political adverts for not complying with its transparency rules.

Facebook says it has partnered with independent fact-checkers in Kenya to debunk misinformation ahead of the August polls.

Its director of public policy for East and Horn of Africa, Mercy Ndegwa, says they have enhanced controls on their platforms that will make it easy to identify and remove content that could lead to election-related violence.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom