Mkuu wa CIA kasema Putin ni mzima wa afya

Zacht

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
1,009
2,197
Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu breaking news
, tena humu Kuna mdau ndio alikuwa kinara wa kusambaza hizo taarifa huku akithibitsha ni za uhakika.

Sasa habari iliyopo ni kwamba Mkuu wa CIA amesema Putin ni mzima wa afya na hawana taarifa zozote za kiintelejesia za kuugua kwa Putin, hivyo hii habari imekuja kukanusha zile rumors maana wengi walikuwa wanaamini CIA ndio wametoa hizo taarifa.

Ushauri wangu
Muwe mnajiridhisha na usahihi wa taarifa kabla kuzimbaza hili kuepusha hizi aibu ndogo ndogo za kuonekena mropokaji ni afadhari useme flani kasema hivi kuliko mtu anaongea kama yeye ndio secretary wa CIA

Screenshot_20220721-182631.png
 
Hivi unawaamin CIA wewe hao si ndio waliopotosha Sadamu ana silaha za kibailogia ,hapa kwa Putin wana lao pia ,hawa bwana so wa kuwaamin kihivyo
Habari ya maradhi ilikuwa ni uongo tangu mwanzo kwa upande wa Putin ilishajithibisha maana hali waliyokuwa wanamuongela kwamba anaumwa sana ,uwepo wa putin tu hadi leo tumeshapata jibu.

So ilibaki upande ulikota rumors kuthibitisha now there we go
 
Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu breaking news
, tena humu Kuna mdau ndio alikuwa kinara wa kusambaza hizo taarifa huku akithibitsha ni za uhakika.

Sasa habari iliyopo ni kwamba Mkuu wa CIA amesema Putin ni mzima wa afya na hawana taarifa zozote za kiintelejesia za kuugua kwa Putin, hivyo hii habari imekuja kukanusha zile rumors maana wengi walikuwa wanaamini CIA ndio wametoa hizo taarifa.

Ushauri wangu
Muwe mnajiridhisha na usahihi wa taarifa kabla kuzimbaza hili kuepusha hizi aibu ndogo ndogo za kuonekena mropokaji ni afadhari useme flani kasema hivi kuliko mtu anaongea kama yeye ndio secretary wa CIA

View attachment 2299043
So kumbe taarifa za CIA huwa ni za kweliii na kumbe taarifa za afya ya putin CIA wanazo tele
 
Msiawaamini sn hao ukute walishairatibu afya ya Putin muda tu Sasa wanajiweka pembeni incase any thing happen later
 
mnadhani Russia ni Zimbabwe sio!! uhasama wao haujaanza leo ,Tena baada ya majaribio yote na mbinu zote kushinsikana za kumuua Putin kushindikana ,wakaona Sasa waingie vitani .
 
So kumbe taarifa za CIA huwa ni za kweliii na kumbe taarifa za afya ya putin CIA wanazo tele
CIA ni shirkia kubwa wanazo vyazo vingi vya taarifa kama ilvyo kwa FSB wote wanaweza kupata taarifa nyeti kwa kila upande hata zile za ikulu so there's nothing to surprise here.
 
Hao watakuwa wanataka kumuua putin wameanza kwa msifia kwanza halafu waje wammalie tu.
Na hiyo ziara putin akirudi salama urusi wakati anabahati sana.
 
Msiawaamini sn hao ukute walishairatibu afya ya Putin muda tu Sasa wanajiweka pembeni incase any thing happen later
upo vizuri sana jasusi la CIA uliyejificha nyuma ya keyboard mitaa ya mbagala kiburugwa.

hivi unadhani putin ni sawa na mzee makamba aliyedukuliwa kwenye simu akimsengenya marehemu jiwe?.
 
kwani kiongozi wa wafuasi wa team rainbow hapa jf, mkenya MK254 anasamaje kuhusu taarifa hii?.

Huyo tunamuombea afya njema ili ashuhudie anguko la Urusi msije mkasema ni kwa sababu hakua mzima ndio maana tulimshinda.
 
Back
Top Bottom