Je, Balozi Ombeni Sefue ndiye mshauri Mkuu wa Rais Samia?

Alimpotosha JK mambo mengi sn huyu mzee

Si kweli tatizo ni wala rushwa mfano Kilimo kwanza ilikuwa sera nzuri Raisi Samia kaliona hilo tunarudi kulekule tumeona kwenye budget ya kilimo. Mkataba wa kujenga kituo cha kuchakata gas tumerudi tatizo yule Prof wa wizara wakati wa kikwete alikuwa mla rushwa sana na kuwapiga vita watu wote wasiokula rushwa kama Dr Mataragio pale TPDC na wataalamu wengine wengi wa diaspora walikuwa waje kusaidia TPDC wakaweka fitna
 
Kama boss wako hachukui rushwa wewe utathubutu kuchukua rushwa?
 
Pamoja na kwamba nipo nyutro vitu vingi, lakini Balozi Sefue ni mojawapo ya senior citizen wetu ambao wana akili na busara na kufanya maamuzi kwa kiasi. He does not possess extreme behaviour. Lakini pia anajua nini ambacho dunia inataka.
Sefue ni sampuli ya Balozi Mahiga.
 
Pamoja na kwamba nipo nyutro bitu vingi, lakini Balozi Sefue ni mojawapo ya senior citizen wetu ambao wana akili na busara na kufanya maamuzo kwa kiasi. H does not possess extreme behaviour. Lakini pia anajua nini ambacho dunia inataka.
Sefue ni sampuli ya Balozi Mahiga.
Labda upo sahihi lakini unaonaje Hawa wazee wetu tukiwapumzisha ?
 
Kama boss wako hachukui rushwa wewe utathubutu kuchukua rushwa?
Hili ni swali zuri sana. Kulijibu sharti uwe makini. Katika hali ya kawaida kama Bosi siyo mlevi wa kuabudiwa, ni mdadisi na si mvivu wa kusoma na kutembelea maeneo yake na kukagua kazi hakuna atakayedhubutu kuchukua rushwa. Lakini akiwa ni mtu mzubao anayependa kusifiwa, kupokea zawadi za hapa na pale, kuandaliwa sherehe na mapambio, anaweza asipokee rushwa lakini akaruhusu walioko chini yake wakapokea rushwa kwa niaba yake tena kwa wingi mnoo. Wa aina hii huweka sahihi document bila hata kuzipitia na bila kujua kilichopo ndani ya document anayoweka sahihi kwa sababu tu imeletwa kwake na mfanyakazi fulani anayempenda au anayemwamini. Hapo ukiongezeka ufuska basi tena.
 
Pamoja na kwamba nipo nyutro vitu vingi, lakini Balozi Sefue ni mojawapo ya senior citizen wetu ambao wana akili na busara na kufanya maamuzi kwa kiasi. He does not possess extreme behaviour. Lakini pia anajua nini ambacho dunia inataka.
Sefue ni sampuli ya Balozi Mahiga.
U'r wrong
Labda kwa kumuona kwenye tv
 
Balozi sefue yupo smart kidogo na huyo judge mstaafu nae yupo fiti natumaini majeshi yatakuwa na mwondoko mpya baada ya ripoti zao.
 
Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu.

Yani sisi wabongo kwa ujuaji tu. Tungekuwa mabingwa kama hivi katika kupeleleza mambo mbalimbali kama mazao yepi ama mbegu zipi zinastahimili ukame ili tupate Mavuno ya kutosha tungekuwa mbali sana.

dmkali
 
Busara imetumika kwenye viongozi wa hiyo kamati. Mmoja ni jaji mkuu mstaafu na mwingine ni Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu. Hizo ndio kazi zao. Who else would someone wish zaidi ya hao? Kama hao hawana busara za kumshauri kiongozi mkuu wa nchi, basi hali yetu ni tete.
 
Back
Top Bottom