mkuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Kisarawe, Pwani: DC Nikki wa Pili atoa hatimiliki za kimila kwa Ranchi 24

    Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mh. Nikki wa Pili jana amefanya jambo kubwa sana la kutoa hati miliki za kimila kwa ranchi 24 kwa wafugaji katika kijiji cha mafizi kwa ajili ya malisho ya mifugo 17920. Lengo ni kuondoa migogoro ya ardhi, kuboresha huduma za mifugo, uvunaji wa bidhaa zitokanazo na...
  2. Display Name

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Songwe, Simon Simalenga akiwa Kata ya Mwambani leo baada ya jana kufanya mazungumzo na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe

    Baada ya jana kukutana na kuzungumza na Watumishi wa Halimashauri ya Wilaya ya Songwe jana. Leo Juni 25,2021 Mkuu wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara kwenye Kata ya Mwambani ambayo inaundwa na Vijiji vya Iseche, Mbala na Mwambani. Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ataweza kusimamia vita ya ukimwi, mimba mashuleni, heshima kwa wanawake na kuitaka jamii iishi kwa maadili?

    Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke. Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe. Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Lupakisyo Kapange aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi

    Taarifa zinasema kwamba kabla ya Uteuzi huu alikuwa Katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Tanga Bado haijajulikana kama ana uzoefu mwingine wowote wala kiwango chake cha elimu
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

    Ni Albert Msando. Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe? What was he doing there? Fingering her? What the hell is wrong with you Samia? Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

    Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao. Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa...
  7. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sifa na majukumu ya Mkuu wa Wilaya?

    Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA. 1. Elimu 2. Umri 3. Ujuzi 4. Itikadi 5. Uzoefu Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi. Pia je, kama sio Watumishi Taarifa zao zinapatikana Wapi maana hawana MAFAILI. ====
  8. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera DC Kheri James, tusaidie kutatua changamoto hizi Kibamba

    Kipekee nampa Pongezi Heri James kwa kuteuliwa kuwa DC wa Wilaya ya Ubungo. Wananchi wa Ubungo wana imani kubwa na wewe haswa kwa uzoefu ulio nao na maono uliyo nao, ulifanya kazi kubwa ulipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM. Wilaya ya Ubungo ni Miongoni mwa wilaya mpya katika Jiji la DSM na Makao yake...
  10. ofisa

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Msando DC Mpya wa Morogoro, nakuomba ufanye haya

    Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili. Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia vinavyohitajika. Naomba ukae na meneja wa TARURA nae mgeni, DED atakayeteuliwa, RC mgeni, TANROAD na...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

    Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar. Sasa swali langu ni...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Arusha na mbwembwe za misafara

    Heshima sana wanajamvi, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ni kijana mdogo lakini mwenye mbwembwe nyingi na vituko vya ujana uliopitiliza. Katika siku za karibuni amekuwa na tabia ya kusindikizwa na gari la Polisi ikiambatana na ving'ora vingi pengine ungefikiri kuna mgonjwa wa COVID 19 anakimbizwa...
  15. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Hai tunamhitaji DC Kiongozi, sio Mtawala

    Nimemsikia Rais wetu mama Samia akitueleza vijana kuwa mkeka wa wakuu wa wilaya uko mbioni kutolewa na ameeleza wazi dhamira yake ya kuwaamini vijana. Nikiwa kama mwenyeji wa wilaya ya Hai kijiji cha mbatakero kitongoji cha mlimafaru, naamini kabisa ninayo haki kama walivyonayo wengine ya...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

    Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro. Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo kuwapiga Machinga. Pia amesisitiza ajira zote zinazokuja za Ma-DC zijazo zitakuwa za vijana.
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

    Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John. Mwezi February mwaka huu...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

    Salaam Wakuu, Natumia nafasi hii kumpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo kwa kuipaisha Kisarawe, Kielimu na Kiuchumi. Wakati anateuliwa nilimbeza sana na kumuona kama kapendelewa. Wengine Walidiliki kusema kwamba ni Nyumba ndogo ya mtu fulani ndo maana kateuliwa. Ila kafanya kazi...
  19. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Ilema, hujifunzi tu kupitia kwa Sabaya?

    Habarini wadau, Serikali ya awamu ya tano pamoja na serikali ya awamu ya sita imekuwa ikisisitiza sana kwenye viwanda, kuongeza ajira pamoja na kusisitiza sana watu kujituma kufanya kazi na kujipatia vipato vyao vya kila siku. Lakini kwa research yangu ndogo biashara nyingi ambazo zimeonesha...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021 Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo. Pia soma: Mtozi Alloyce...
Back
Top Bottom