mkuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegele aja na Temeke Gulio-Soko la Makangarawe limekamilika

    MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanga: DC aagiza polisi kukomesha ukahaba

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha biashara ya madanguro maarufu kama madada poa inakoma mara moja Jijini humo. DC Mganndilwa alitoa agizo hilo wakati wa kikao cha cha baraza la madiwani wa halamashauri ya jiji la Tanga ambapo aliyataja...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke kakague kisima cha maji DAWASA Charambe Mbagala

    Kwa miaka sasa wakazi wa Charambe Mbagala maji tunayopewa na Dawasa ni hatari kwa matumizi kwani yana kemikali. Maji haya yenye rangi ukifulia nguo nyeusi huacha rangi nyeupe kwenye nguo yakaukapo, na ukiyamwaga kwenye mchanga huchukua muda mrefu sana kukauka na yakikauka huacha rangi ya njano...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate atimiza ahadi kwa wafanyabiashara Makangarawe

    DC JOKATE ATIMIZA AHADI KWA WAFANYABIASHARA MAKANGARAWE Leo Oktoba 20,2021 Mkuu wa wilaya wa Temeke kupitia mwakilishi wake kaimu Afisa Tarafa Mbagala Bi. Theodora Malata ametembelea soko la Makangarawe na kutimiza ahadi ya kuchangia biashara ya kila mfanyabiashara ndogo ndogo sokoni hapo kama...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania DC Singida: Wasiopeleka watoto wa kike shule tutawachukulia hatua

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua. Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
  6. JAPUONY

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma. Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
  7. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Monduli, Frank Mwaisumbe aliyepopolewa Mawe na wananchi afunguka, ampiga chini Mwenyekiti wa kijiji

    Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini. Akitoa ufafanuzi Mbele ya...
  8. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kumtongoza Mkuu wa Wilaya?

    Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha...
  9. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Amshusha kwenye Gari Mwandishi wa Habari wa Wapo Radio

    Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio. Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu . Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ludigija kwanini uliendesha bomoabomoa Vingunguti akikiuka agizo la Rais?

    Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro. Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo. Je, huyu ni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nikiupata Ukuu wa Wilaya nitafanya yafuatayo…

    Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa na Rais na ndiye mwakilishi wa Rais katika wilaya. Baadhi ya majukumu yake ni; kusimamia shughuli...
  12. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nkasi, Rukwa: Takribani Risasi 1500 zakamatwa baada ya wavuvi kuzivua Ziwa Tanganika

    Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa Peter Lijualikali amekamata risasi zaidi ya 1500 ambazo zimevuliwa na wavuvi wa kijiji Cha korongwe kata ya korongwe wilayani humo. Lijualikali amesema tayari kamati ya ulinzi na usalama inafanyia kazi swala hilo ili kutambua nani aliziweka risasi hizo katika...
  13. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe na watoro Sugu mashuleni

    Mkuu wa wilaya Songwe alianza kazi yake vizuri pindi alipofika wilaya ya Songwe ya kuwarudisha watoro sugu mashuleni. Jamii inayoishi katika wilaya ya Songwe wengi ni wachimbaji madini na wafugaji. Kwahiyo jamii hii watoto wa huko hawapendi shule. Mkuu wa wilaya akaja na mkakati kabambe wa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC wa Busega azindua utoaji chanjo

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe. Gabriel Zakaria amezindua rasmi zoezi la chanjo ya UVIKO 19 (COVID 19) Wilayani Busega, uzinduzi uliofanyika Hospitali ya Wilaya ya Busega, huku akiwataka wananchi kupuuza maneno na taarifa za kizushi zinazoendelea kusambaa kwenye baadhi ya Mitandao kuhusu chanjo...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PSPTB: Mkuu wa Wilaya anapokuwa muhimu kuliko Professional Board

    Hii ni bodi ya Wataalamu Manunuzi na Ugavi. Imeshindwa kutoa matokeo ya mitihani ya watahiniwa tangu mwaka jana mpaka jana. Ikiwa ni mitihani ya vikao vitatu mfululizo yaani Agosti na November 2020 na Juni 2021. Wameshindwa kwa sababu Rais hajateua mwenyekiti wa bodi ambaye kisheria yeye na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania DC Iramba awazawadia walimu Shule ya Sekondari Lulumba safari ya kwenda mbuga wanayotaka nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda ametoa zawadi kwa walimu wa shule ya Sekondari Lulumba kuchagua mbuga yoyote ya wanyama kwenda kupumzika kwa siku 3 baada ya shule hiyo kufanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha 6 na kuongoza Kiwilaya na Kimkoa na kushika nafasi ya 24...
  17. DustBin

    JamiiForums Tanzania DC mpya Gairo una kazi kubwa ya kurejesha tabasamu kwa wananchi

    Nawasalimu kwa jina JMT Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mkuu wa Wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu

    Ningekuwa ndio mkuu wa wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu. Hizi ni hatua ambazo ningechukua. Kwanza ningetambua idadi ya wahitimu wote wanaotokea wilayani kwangu. Ningehakikisha kama hawana kazi za kufanya nawatafutia kampuni, taasisi na viwanda vya...
  19. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe unazuiaje mkutano mkuu wa msikiti wakati Katiba yao imekiukwa mwaka wa pili sasa?

    Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe. Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa. Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate Mwegelo: Taa za kisasa kuwekwa eneo la nje mkabala na uwanja wa Benjamin Mkapa (Temeke)

    DC JOKATE MWEGELO: TAA ZA KISASA KUWEKWA ENEO LA NJE MKABALA NA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TEMEKE. MKUU wa Wilaya ya Temeke, Mhe Jokate Mwegelo ametanabaisha dhamira yake ya kubadilisha taswira ya muonekano wa eneo la mbele ya Ofisi DC iliyopo maeneo ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
Back
Top Bottom