Mh. Mkuu wa mkoa wa Geita, nikuombe ufatilie utendaji kazi wa mkuu wa wilaya na mkurugenzi katika wilaya ya nyang'wale. Mkoa wako wa Geita.
Mh. Mkuu wa mkoa, lakini pia jaribu kukagua riport za miradi ya barabara ktk wilaya hiyo ya nyang'wale inayotekelezwa na wakara wa barabara vijijini TARURA...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya Atony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala, Halmshauri ya Wilaya ya Mbeya, baada ya kukaidi agizo la kubomoa kwa hiari nyumba yake.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila.
Uamuzi wa RC Chalamila, ulitokana na Lyuba...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amesema bei ya rejareja saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi.
Ameviagiza vyombo vya ulinzi kuendelea kuwakamata walanguzi wanaoendelea kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu.
Juzi Waziri Mkuu, Kassim...
23 October 2020
Mbeya, Tanzania
RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau.
Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa...
Habari wakuu. Hoja yangu ni nyepesi sana lakini inanitatiza kidogo. Tumeshazoea kuona CDF (Mkuu wa Majeshi) akipiga SALUTE kwa wateule wa Mh Rais. Hapa nazungumzia Mkuu wa Mkoa (RC)
SWALI:
Inakuaje pale Mkuu wa Majeshi anapoenda mikoa inayoongozwa na wanajeshi kama Kagera ulio chini ya Mh. Brig...
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani.
Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi.
Dkt...
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza...
Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa.
Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo...
RC KUNENGE AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA ILALA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amemuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala Bw. Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija alieteuliwa hivi karibuni na Rais Dkt. John Magufuli kuongoza Wilaya hiyo.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo RC...
Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi ni mdau mkubwa sana wa maendeleo ya jiji la Dar na binafsi ninatamni sana Dar es Salaam liwe jiji la kisasa kabisa.
Leo naandika waraka huu kumpa pongezi zangu za dhati kabisa Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Ndugu Kunenge kwa namna ulivohakikisha...
JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi.
Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika wimbo wa Mbaraka Mwinshehe kuwa alikuwa mwanamapinduzi.
Je, kuna yeyote anaweza kutupatia taarifa...
RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.
Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
Rais Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Viongozi Wateule watakaoapishwa Chamwino Dodoma
1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
2. Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu...
Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.
Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.
Maendeleo hayana vyama
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
===
Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa mbunge wa Siha tangu mwaka 2000, mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na amestaafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.