mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dubu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, yashiriki kualika watu kwenye Mikutano ya Kampeni ya CCM

    Wakuu, hii kikatiba imekaaje?
  2. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Konde Gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar kama mlezi wao

    Harmonize na konde gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar Mh Abubakar Kunenge kama mlezi wao. Wanapitia njia ile ile aliyopita bwana domo. Sio mbaya lakini.
  3. malela.nc

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Imekaaje hapa kwa CDF na RC

    Habari wakuu. Hoja yangu ni nyepesi sana lakini inanitatiza kidogo. Tumeshazoea kuona CDF (Mkuu wa Majeshi) akipiga SALUTE kwa wateule wa Mh Rais. Hapa nazungumzia Mkuu wa Mkoa (RC) SWALI: Inakuaje pale Mkuu wa Majeshi anapoenda mikoa inayoongozwa na wanajeshi kama Kagera ulio chini ya Mh. Brig...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameagiza kushushwa vyeo kwa Walimu Wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika mitihani

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani. Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi. Dkt...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Rais tuletee mwamba Paul Makonda awe mkuu wa mkoa, tunamhitaji kwa sana

    Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

    Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa. Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, Aboubakar Kunenge amemuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala Bw. Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija

    RC KUNENGE AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA ILALA. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amemuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Ilala Bw. Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija alieteuliwa hivi karibuni na Rais Dkt. John Magufuli kuongoza Wilaya hiyo. Akizungumza wakati wa hafla hiyo RC...
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Pongezi za pekee kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abubakar Kunenge

    Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi ni mdau mkubwa sana wa maendeleo ya jiji la Dar na binafsi ninatamni sana Dar es Salaam liwe jiji la kisasa kabisa. Leo naandika waraka huu kumpa pongezi zangu za dhati kabisa Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Ndugu Kunenge kwa namna ulivohakikisha...
  9. Sam GM

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi. Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika wimbo wa Mbaraka Mwinshehe kuwa alikuwa mwanamapinduzi. Je, kuna yeyote anaweza kutupatia taarifa...
  10. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Naibu/Makatibu Wakuu, Katibu Tawala na Mkuu wa Mkoa Njombe, awasisitiza wote kwenda kuchapa kazi

    Rais Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Viongozi Wateule watakaoapishwa Chamwino Dodoma 1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe 2. Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

    Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa. Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana. Maendeleo hayana vyama
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

    Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke. Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

    Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. === Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa mbunge wa Siha tangu mwaka 2000, mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na amestaafu...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

    Hii ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima ambaye ni juzi tu ameteuliwa kutoka ccm Arusha na kuwa RC wa Morogoro .
  17. Victoire

    JamiiForums Tanzania Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

    Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia? Binafsi naona sio sawa...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutembea kwa miguu kutoka mji mkuu wa mkoa mpaka mji mkuu wa mkoa mwingine?

    Katika maisha yangu haya sitasahau umbali mrefu zaid niliowahi kutembea nilitoka dodoma mjini mpaka iringa zaidi ya km 240.pia nimewahi kutoka singida mpaka babati.pia nishatembea kutoka igunga mpaka singida mjini na nilitumia siku moja.pia nimewahi kutembea kutoka masasi mpaka nachingwea kwa...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 23: Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmud achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmud amekuwa mgombea wa 23 kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Back
Top Bottom