mkulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani

    Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani kwa maslahi ya wachache. Mwaka 2022 nimechoma zaidi ya tani elfu moja kwa kigezo cha muwa umepitiliza muda wa kutengeneza sukari. Tani elfu moja ni tunaongelea...
  2. N

    Hili la ushuru wa mazao kwa mkulima wa mikoa ya kusini halipo sawa.

    Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake, Ni Jambo lilonitia hasira Sana kutokana na matamko ya viongozi wakubwa wa nchi yetu kuwa ni marufuku kulipa ushuru kw...
  3. Z

    SoC04 Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe?

    Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe? Katika maisha ya sasa na siasa mwanasiasa anasimamia Sera za nchi mkulima anavunja Sera za nchi kumlisha mtunga sera za nchi nikiwa na maana kwamba mwanasiasa au kiongozi yeyote anasimamia Sera za nchi na kumnyima...
  4. B

    Mkulima wa Mwani: Sera ya Uchumi wa Buluu katika kilimo cha Mwani, haitekelezwi. Kilimo chawa kigumu

    “Nina Watoto nane, shughuli yangu kubwa ni Kilimo cha Mwani ambayo ni miongoni mwa mazao ninayoyategemea kunipatia mkate wa kila siku. Nafanyia shughuli zangu katika Kijiji cha Shamiani Kangani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Hapa ndipo pia ninapoishi. Nimekuwa na ndoto ya kuwa mkulima...
  5. Kamwe Mfugaji hawezi kuishi pamoja na Mkulima. Maisha hayawaruhusu

    ✍#GMdadisi Sijui ni lini WAFUGAJI na WAKULIMA watakuja kuelewana na waishi pamoja bila kuwa na migogoro wala chuki. Nadhani hii yaweza kuwa ni ndoto nzuri ambayo haitakuja kushudiwa katika kizazi hiki. Bahati mbaya sana ukimsikiliza mfugaji analalamika kuonewa na mkulima. Vivo hivyo mkulima...
  6. Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Wakuu Habari? Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania. Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima...
  7. Kifo cha Mkulima

    KIFO CHA MKULIMA 1. Hadithi nawaletea, sikiliza kwa makini, Zamani kulitokea, porini kundi la nyani, Mitini walirukia, mara juu mara chini, Nyani walifurahia, kwa kifo cha mkulima. 2. Waliposikia njaa, lienda huko shambani, Mahindi wakachukua, kurudi nayo porini, Wakanywa na maji pia, kwenye...
  8. "Ali Obeid Mengash" mkulima aliyeidondosha "Apache" helikopta kwa gobole

    Majasusi waliokuwa wakitazama taarifa ya Habari katika chumba cha Hoteli, waligonganisha glasi na kushangilia "Ndiyo" alisema mmoja wao. "Alifanya hivyo!" "Alifanya hivyo!" walikuwa wakimtazama shujaa wa siku hiyo. Mkulima mzee mkazi wa Karbala aliyeiangusha helikopta ya kimarekani aina ya...
  9. Shinyanga: Mkulima, Mfugaji wafariki kwa Kupigwa na Radi wakati wakisuluhishwa

    WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
  10. Swali: Hivi ni kwanini Tanzania hakuna Profesa au Daktari (Phd holder) ambaye ni mkulima?

    Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo na wanaishi maisha yao yote kwa kulima?
  11. Naibu Waziri Sagini - Mkono wa Dola Utawashukia Wahalifu Awe Mkulima Au Mfugaji

    NAIBU WAZIRI SAGINI - MKONO WA DOLA UTAWASHUKIA WAHALIFU AWE MKULIMA AU MFUGAJI Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa Serikali kupitia Jeshi la Polisi haitakuwa na uvumilivu juu ya Mwananchi yeyote awaye Mkulima au Mfugaji ambaye analengo la kuvuruga...
  12. Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  13. Siku huyu jamaa akigundua anasalitiwa itakuaje?

    Habari, wana jukwaa Ambao hamjaoa msije mkaogopa Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu. Sasa huyu dada ana mumewe ambae yuko nje ya mkoa kikazi, huwa anachukua muda mwingi kazini nyumbani anakuja mara...
  14. Mema kwa mkulima wa Tanzania... Bashe na Rais Samia wanafanya kweli

    Mkulima wa Tanzania sasa hivi ana kituo cha kisasa cha huduma kwa mtej (,Customer care). Bashe kwa mara ya kwanza Tanzania, anaifanya Wizara ya kilimo kuwa ni watoa huduma wa kisasa kwa wakulima. Jionee: Mengine tutaendelea kuwaletea. Hongera Bashe, Hongera Rais Samia. === Waziri Hussein...
  15. SoC03 Chozi la mkulima na mfugaji ni laana kwa vizazi vijavyo

    Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi. Inakadiliwa kuwa ifikapo mwaka 2050, Tanzania itakuwa nchi ya tatu kwa wingi wa watu Afrika...
  16. Nijuavyo! Kuna kesi mbili za wanachi wakiishitaki serikali! Moja tu inasikika, ile ya mkulima na kina makamba imeishia wapi?

    Wakati mawakili wa serikali wakiendelea kunyeshewa mvua ya mawe mahakani kwa mkataba tata wa bandari zetu, shauku yetu kama watanzania na wafia nchi, ningependa kusikia hili la ufujaji wa mapesa yetu walipa kodi Huyu mkulima aliyetangaza kuwafikisha mahakamani mawaziri kadhaa wa serikali kwa...
  17. S

    Mkulima aliyewaburuta Kortini Mbarawa, Mwigulu, Makamba ufisadi Ripoti ya CAG kuunguruma mkutano wa Bandari leo

    MKULIMA aliyeshtaki kina Mwigulu, Makamba na Prof. Mbarawa kuhusiana na ufisadi uliotajwa na CAG atakuwa ni miongoni mwa watanzania wazalendo watakaohutubia mkutano mkubwa wa kupinga kuuzwa bandari kwa mwarabu.
  18. Natafuta mkulima mwenye stock ya soya

    Hello! Natafuta mkulima au mtu mwenye stock ya Soya beans ile ya njano kuanzia tani 3 anipe na bei elekezi. Nimeweka picha ya Soya.
  19. Serikali Yaja na Mpango Mkakati wa Kumlinda Mkulima wa Korosho Nchini

    SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
  20. R

    Thomas Nkola (Mkulima) awafunguli kesi 5 Mwigulu, January, Mbarawa, Tutuba na Mkurugenzi PCCB

    Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB, Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai, January Makamba, Makame...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…