Siku huyu jamaa akigundua anasalitiwa itakuaje?

stow away

JF-Expert Member
Dec 5, 2022
8,888
17,538
Habari, wana jukwaa

Ambao hamjaoa msije mkaogopa

Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu.

Sasa huyu dada ana mumewe ambae yuko nje ya mkoa kikazi, huwa anachukua muda mwingi kazini nyumbani anakuja mara chache anaweza kukaa mpaka miezi mitatu bila kurudi kwa familia yake.

Huyu dada huku aliko ameanzisha mahusiano mapya yaani ni kama ndoa vile. Kilichoniumiza kama mwanaume jamaa amerudi kuja kutazama familia yake.

Sasa leo walikua wanasafari Kuna sehemu wanaenda, yule dada aliamua kunishirikisha kwenye hiyo safari, nilichoshangaa gari iliyotumika kwenye safari ni hiyo gari ya mchepuko, jamaa mwenye mke ndio alikua anaendesha gari ya mume mwenzake bila wasiwasi.

Je, siku akigundua anasalitiwa na mkewe na anaemchapia ni yule aliewapa gari atachukua uamuzi gani kama sio mauwaji, maana hii ni dharau ya hali ya juu
 
Umejuaje kama mumewe hajui?

Unajuaje kama mume wa huyo dada anafaidia kwa mkewe kuchepuka?

Familia za kiswahili zina mambo mengi.. Pengine unachokiona kikawa tofauti na kilivyo.

Yaani jamaa asijue mkewe kapata wapi gari?..
 
Mie hapo sioni tatizo maana makosa ni ya mwanaume!
Hivi kwa dunia hii unaanzaje kuoa kwa hiki kizazi kilichopo ambacho kimejaa uongo na usariti na ujanja ujanja mwingi?
Acha muendelee kutombewa wake zenu mpaka mtakapoikubali kauli mbiu ya #KATAA NDOA - LINDA AFYA YAKO YA MWILI NA AKILI.!
 
Point nzuri!👍🏾

Unaendeshaje gari hujui imetoka wapi?! Na hukununua?! Mume ana uwalakini... au ni too much trust
 
Mie hapo sioni tatizo maana makosa ni ya mwanaume!
Hivi kwa dunia hii unaanzaje kuoa kwa hiki kizazi kilichopo ambacho kimejaa uongo na usariti na ujanja ujanja mwingi?
Acha muendelee kutombewa wake zenu mpaka mtakapoikubali kauli mbiu ya #KATAA NDOA - LINDA AFYA YAKO YA MWILI NA AKILI.!
Unafikiri jamaa akigundua itakuaje?
 
Umejuaje kama mumewe hajui?

Unajuaje kama mume wa huyo dada anafaidia kwa mkewe kuchepuka?

Familia za kiswahili zina mambo mengi.. Pengine unachokiona kikawa tofauti na kilivyo.

Yaani jamaa asijue mkewe kapata wapi gari?..
Kwa hio mume kamtuma mkewe achepuke? 😂
 
Habari, wana jukwaa

Ambao hamjaoa msije mkaogopa

Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu.

Sasa huyu dada ana mumewe ambae yuko nje ya mkoa kikazi, huwa anachukua muda mwingi kazini nyumbani anakuja mara chache anaweza kukaa mpaka miezi mitatu bila kurudi kwa familia yake.

Huyu dada huku aliko ameanzisha mahusiano mapya yaani ni kama ndoa vile. Kilichoniumiza kama mwanaume jamaa amerudi kuja kutazama familia yake.

Sasa leo walikua wanasafari Kuna sehemu wanaenda, yule dada aliamua kunishirikisha kwenye hiyo safari, nilichoshangaa gari iliyotumika kwenye safari ni hiyo gari ya mchepuko, jamaa mwenye mke ndio alikua anaendesha gari ya mume mwenzake bila wasiwasi.

Je, siku akigundua anasalitiwa na mkewe na anaemchapia ni yule aliewapa gari atachukua uamuzi gani kama sio mauwaji, maana hii ni dharau ya hali ya juu
Mwanaume taahira huyo, unaendeshaje gari ambayo hujaitafuta? (Hujainunua wala hujaikodi)
Siku ambayo mwanamke Eva aliketa chakula ndiyo siku waloyofukuzwa Eden
 
Kwa hio mwanaume kosa lake kuendesha gari la mchepuko wa mkewe, siku akigundua unahisi patatosha?
 
Habari, wana jukwaa

Ambao hamjaoa msije mkaogopa

Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu.

Sasa huyu dada ana mumewe ambae yuko nje ya mkoa kikazi, huwa anachukua muda mwingi kazini nyumbani anakuja mara chache anaweza kukaa mpaka miezi mitatu bila kurudi kwa familia yake.

Huyu dada huku aliko ameanzisha mahusiano mapya yaani ni kama ndoa vile. Kilichoniumiza kama mwanaume jamaa amerudi kuja kutazama familia yake.

Sasa leo walikua wanasafari Kuna sehemu wanaenda, yule dada aliamua kunishirikisha kwenye hiyo safari, nilichoshangaa gari iliyotumika kwenye safari ni hiyo gari ya mchepuko, jamaa mwenye mke ndio alikua anaendesha gari ya mume mwenzake bila wasiwasi.

Je, siku akigundua anasalitiwa na mkewe na anaemchapia ni yule aliewapa gari atachukua uamuzi gani kama sio mauwaji, maana hii ni dharau ya hali ya juu
waachie mambo yao wewe fata yako
 
Kwa hio mwanaume kosa lake kuendesha gari la mchepuko wa mkewe, siku akigundua unahisi patatosha?

Umeshajiuliza na siku akigundua wewe ulikua unajua kinachoendelea na umekaa kimya itakuaje?
Au ndio umekuja kuanzisha Uzi kutibua mambo?
 
Sasa gari si imekuja na umeendesha wakati mwenye gari ndie anaemtafuna mkeo? Hivi siku ukigundua unafikiri utafanyaje?
Sina akili za hovyo za kuendesha gari ambayo imekuja na sijui imetoka wapi, ni ya nani na sina kumbukumbu ya kushiriki uwepo wake (aidha kimchango au manunuzi)... Sina mke na mpango wa kuoa hawa wanawake wa kizazi hiki wasio na akili hata kidogo SINA!... Wana akili za kubadili pedi na kuongeza na kupunguza matako na maziwa.

Wewe ulivyoanzaga kutafuniwa huyo mkeo ulijisikiaje?!
 
Back
Top Bottom