Mkulima ahoji mtuhumiwa wa ufisadi kuzindua kampeni za CCM Shinyanga

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
188
571
MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga.

Mjumbe huyo wa NEC ya CCM ni Hussein Bashe ambaye pia ni Waziri wa Kilimo anayetuhumiwa kwa kashfa za ufisadi zilizopelekea kufikishwa Mahakamani na wakulima maeneo mbalimbali nchini kutokana na kashfa za kuwanyonya wakulima nchini.

"Waziri Mnec Bashe, ameenda Shinyanga kama Kada wa Chama kukinadi chama katika uchaguzi ujao wa mitaa, Swali langu CCM imekosa kada safi murua anayeweza kwenda Shinyanga, huyu ametumia kigezo gani, kama mkoloni au kama jambazi mwenye silaha anayeweza kuingia popote unloaf and entry, Bashe ana kesi Mahakamani ya Wakulima wa Manyara, Bashe ana kesi ya Sukari katika Mahakama ya Rufaa, pia ana kesi Mahakama Kuu ya Wakulima wa Kilombero, ina maana Balozi Nchimbi hajui au dharau kwa wananchi, kawaida kampeni hufanywa na watu wema wenye mvuto wa matendo sio sura, huyu anawaambia nini wananchi wa Shy ambao asilimia 90 ni wakulima wanaotegemea Pamba kujipatia kipato.

Bashe ambaye tayari tuna andaa kesi dhidi ya Wakulima wa Pamba inayohusu hujuma katika mpango wa bei/masoko na pembejeo kupitia wa NEC wenzie, wabunge, TCA na Bodi ya Pamba, hii nchi imekuwa ya namna gani fisi wanazagaa hivi mpaka sokoni mchana kweupe,

kuhusu Bashe kuwa mgeni rasmi shinyanga limekuwa tukio na gumzo kubwa shinyanga, mimi nimepinga kizalendo kuwasaidia CCM mliopoteana, mmegawanyika makundi mengi, wapo wanaokula kivulini na huku vichwani ni weupe, wapo wasomi wazuri wenye uzalendo wananyimwa nafasi katika maamuzi, Data zinaonyesha Bashe ndiye hatari zaidi kwa wananchi kwa sasa au jiulize ni Waziri gani mwingine aliyekwisha funguliwa kesi na wananchi wa sekta anayohudumu kama sio yeye pekee" ameandika THOMAS NKOLA MAARUFU MKULIMA
 
Siyo magufuli aliyewaita watengeneza ndege wakajifungia ofisini huku akiikalia sheria ya manunuzi ikilowa jasho la makalio?
Siyo Magufuli aliyejenga kiwanja cha ndege kijijini kwao bila hata idhini ya bunge?
Siyo magufuli aliyemtea fisadi namba moja lowassa saa nane usiku bila kushirikisha kamati kuu kabadili gia angani asiye mla rushwa katibu mkuu akaamua kujiudhulu kwa kuwa choo kililetwa chumbani!
 
MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga.

Mjumbe huyo wa NEC ya CCM ni Hussein Bashe ambaye pia ni Waziri wa Kilimo anayetuhumiwa kwa kashfa za ufisadi zilizopelekea kufikishwa Mahakamani na wakulima maeneo mbalimbali nchini kutokana na kashfa za kuwanyonya wakulima nchini.

"Waziri Mnec Bashe, ameenda Shinyanga kama Kada wa Chama kukinadi chama katika uchaguzi ujao wa mitaa, Swali langu CCM imekosa kada safi murua anayeweza kwenda Shinyanga, huyu ametumia kigezo gani, kama mkoloni au kama jambazi mwenye silaha anayeweza kuingia popote unloaf and entry, Bashe ana kesi Mahakamani ya Wakulima wa Manyara, Bashe ana kesi ya Sukari katika Mahakama ya Rufaa, pia ana kesi Mahakama Kuu ya Wakulima wa Kilombero, ina maana Balozi Nchimbi hajui au dharau kwa wananchi, kawaida kampeni hufanywa na watu wema wenye mvuto wa matendo sio sura, huyu anawaambia nini wananchi wa Shy ambao asilimia 90 ni wakulima wanaotegemea Pamba kujipatia kipato.

Bashe ambaye tayari tuna andaa kesi dhidi ya Wakulima wa Pamba inayohusu hujuma katika mpango wa bei/masoko na pembejeo kupitia wa NEC wenzie, wabunge, TCA na Bodi ya Pamba, hii nchi imekuwa ya namna gani fisi wanazagaa hivi mpaka sokoni mchana kweupe,

kuhusu Bashe kuwa mgeni rasmi shinyanga limekuwa tukio na gumzo kubwa shinyanga, mimi nimepinga kizalendo kuwasaidia CCM mliopoteana, mmegawanyika makundi mengi, wapo wanaokula kivulini na huku vichwani ni weupe, wapo wasomi wazuri wenye uzalendo wananyimwa nafasi katika maamuzi, Data zinaonyesha Bashe ndiye hatari zaidi kwa wananchi kwa sasa au jiulize ni Waziri gani mwingine aliyekwisha funguliwa kesi na wananchi wa sekta anayohudumu kama sio yeye pekee" ameandika THOMAS NKOLA MAARUFU MKULIMA
Wakulima wameamka
 
Kwa sababu CCM ni Chama Cha Mafisadi
 
Back
Top Bottom