mkulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka

    Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi. Nimechukua...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, kupanda kwa bei za mazao kunaweza kumnufaisha mkulima ikiwa bei za bidhaa nyingine zimepanda?

    Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu, Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo. Karibuni
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

    Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa bamia Arusha

    Habari wakuu. Natafuta mkulima wa bamia Arusha. Nahitaji debe/ndoo angalau 40 za bamia iliyo tayari. Mawasiliano 0656388678
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Ally Salum Hapi mkulima bora wa mwaka 2022

  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mkulima mbaroni kwa kumvunjia heshima Rais Samia na Dkt. Kikwete mtandaoni

    MKAZI wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya asema "Mkulima atakayekabiliwa na njaa kupelekwa mahakamani"

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi chakula waliyopewa wakati wa msimu wa mavuno. Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa msimu wa...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hongera,kutoka kwenye utumishi,hatimaye kuwa mkulima makini.

    Congratulation, My young brother,you turn the wheel well. ::Tutunze rekodi za kilimo na mavuno kila Mara,ili tujiandae vyema msimu ujao.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe mkulima alishawahi kuwafunga mabingwa wote wa playok kwenye draft

    Kwa wachezaji wa Draft la playok, Tunajua mabingwa wa kule ni ashkelon, Davidmbeya, kongomsumari, na mohammed19997, ila cha ajabu wote hao walishapigwa na mkulima wakaishia kumuita mkulima ni software 😅😂 Nimeangalia statistics za mkulima kule playok Ashkelon alipigwa 2 bila na mkulima...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kilimo chetu cha kumnyonya mkulima leo kinatutokea puani

    Kwa miaka sitini ya uhuru mkulima hajawahi pata bei stahiki ya mazao yake. Haya tunayoyaona leo ni matokeo ya kumnyonya. Watu waliacha kulima kahawa na chai sababu ya kunyonywa. Lakini sababu hao si mazao ya chakula hatukuona athari zake. Lakini ukweli hata kwenye mahindi na mazao mengine ya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkulima na nguvu zake

    Utangulizi Mkulima ni nani? Mkulima ni mtu yeyote anaye jihusisha na shunguli za kilimo. Aina za mkulima, mkulima mdogo, mkulima wa kati, mkulima mkubwa. Uelewa juu ya kilimo Wengi wetu hawajui nini maana ya kilimo, wakati kilimo ni uti wa mgongo kutokana na elimu ya kilimo kutokufika katika...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Serikali haina nia thabiti ya kumkomboa Mkulima. Kauli ya kudhibiti Lumbesa ni danganya toto

    Ahlan wa sahlan Kuelekea kuadhimisha sikukuu ya wakulima maarufu kama Nane nane, serikali kupitia makamu wa Rais ,Mheshimiwa Dk. Philip Mpango, imetoa taarifa kudhibiti lumbesa.Ila kauli hii imekuwa ikitoka miaka nenda miaka rudi huku wakulima wakiendelea kuumia tu. Wakala wa vipimo na mizani...
  14. Binti Mzalendo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mkulima mdogo na Walanguzi

    Aliesema kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hakukosea,lakini ni uti wa mgongo kwa wajanja wenye pesa na SI mtu wa Hali ya chini. Kilimo ni sayansi ya uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara.Mkulima anapoandaa shamba,anapanda,anapalilia mategemeo yake ni kuvuna mazao Bora na hata ainuke...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkulima na CCM nani anastahili ruzuku?

    Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Roho za aina tatu zenye thamani alizoziacha duniani profesa mkulima Yuan Longping

    "Mwanadamu ni kama mbegu, anatakiwa kuwa mbegu bora. " Haya ni maneno ambayo mwanasayansi wa kilimo wa China anayejulikana kama "Baba wa mpunga chotara " Profesa Yuan Longping alikuwa akipenda kusema wakati alipokuwa hai. Mei 22, 2021, Yuan aliaga dunia mjini Changsha, Hunan akiwa na umri wa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

    Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu. Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri. Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

    Nasikia huyo mkulima aliwafunga Ronaldo, sisqo na noel, Nimeshuhudia hata mabingwa wengine wa playok wenye point 1500+ anawafunga, halafu cha kushangaza zaidi nasikia hachezi copy.. Huyu mtu anachezea kijiwe kipi? Maana anaetumia id ya mkulima Kwenye playok nasikia sio mangwelele
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Kahawa ya kutoka Lyamungo Kilimanjaro yauzwa na moja ya maduka makubwa Ulaya

    Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco. Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Kahawa hii ni nzima na imeokwa (roasted) na mtumiaji hutakiwa...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Benin: Mkulima aokotoa furushi lenye mamilioni ya fedha, arudisha kwa mwenyewe

    Mkulima mmoja nchini Benin amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa mamlaka ya nchi yake hiyo ni baada ya kuokota mamilioni ya fedha kisha kumrudishia mmiliki. Fedha hizo aliziokota kwenye begi la kusafiria alilolichukua alipokuwa njiani Ijumaa iliyopita alipokuwa akirejea kutoka shambani kwake...
Back
Top Bottom