mkulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, yule Mchina Mkulima tuliyemsingia 'Kipropaganda' kuwa anayatumia Maji yote ya Mto Ruvu kwa hizi Mvua nyingi lini tutamruhusu aendelee Kumwagilia?

    Kwa hizi Mvua Kubwa na nyingi zinazonyesha sasa Nchini Tanzania nimetaarifiwa kuwa tayari zimeshaanza Kujaza Mito yetu Mikubwa kiasi kwamba muda si mrefu inaweza ikaanza Kufurika na kujuta hata kwanini kwa Uwongo, Roho Mbaya na Propaganda zetu tuliamua Kumtupia lawama Mchina Mkulima wa Ruvu kuwa...
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awataka Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara, pamoja na uwekezaji kuja na mkakati wa kilimo cha kisasa

    Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti. Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini. "Natoa maelekezo kwa...
  3. Jimytz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao, Tuachane na hayo maana...
  4. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Stakabadhi ghalani ni kupe kwa mkulima

    Mfumo huu ni umekua ni wa hovyo sijawahi kuona.Fikiria mkulima amejinyima kula vizuri,kuvaa na watoto wake lakini leo hii mkulima anakuja kumkopesha tajiri ambaye ana mali kedekede inauma sana. Zaidi ya mwezi sasa tangu niuze mazao yangu kwa mfumo huu ambao serikali imeshindwa kuusimamia...
  5. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa mpunga mkulima aliyeitwa na Bill Gate, gari za kifahari, jumba kiwanda

    Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
  6. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mkulima awamiminia risasi mke na mtoto wake, sababu zaelezwa

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28). Chanzo Bongo five
  7. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu kama mtu ni mara yako ya kwanza kuingia katika kilimo hukopesheki kwenye taasisi za fedha

    Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii; Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya: ~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako ~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba ~ Uwe unalima mazao biashara Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mkulima mzoefu wa migomba kwa kumwagilia

    Members natumain ni wazima. Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa ujumla. Mfano aina za migomba na changamoto na uzalishaji wake. Masoko yaliopo na mahitaji...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mkulima yanaweza kuboreshwa zaidi.

    Nilisoma habari ya mwanaume wa kizungu alizaliwa mwaka 1920. Alieleza kuwa walizaliwa watoto 10 na wote walikua na kupata miji yao. Baba na mama walikua wakulima. Nyumba yao ilikua mbele ya shamba lao. Shambani walifuga nguruwe, ng’ombe na kuku. Walilima nyanya, caroti, vitunguu, kabeji na...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vijana Ujasiriamali sio Muhuri wa utajiri: Mafanikio yake hayana utofauti na ya mwajiriwa, mkulima, mwanasiasa, mwanamuziki au Mcheza mpira

    Nimecopy na kuileta humu Naomba unisikilize na unielewe vzr sana. Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU wazindua Kampeni na Ilani kwa vitendo. Watumia Trekta Kulima kuonesha dhamira ya Kumtoa Mtanzania kwenye Jembe la Mkono

    Salaam Wakuu, Chama cha sauti ya umma (SAU) Kimezindua Kampeni na Ilani kwa Vitendo, Baada ya Kutumia Trekta kama mfano wa Jinsi Watanzania Watakavyokuwa Wanalima Pindi Wakipewa Nafasi ya Kuongoza Nchi. Wamezindua kwa kuvuna Miwa na Viazi Shambani. Uzinduzi wa ilani umefanyika kivitendo katika...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni mikakati ya kumsaidia mkulima kila mkoa kila wilaya

    Ushauri kwa Serikali ya Tanzania ya viwanda hii bank ya TADB mliyoanzisha ifanye kila namna ifungue matawi kila wilaya ili kwenda na kasi ya Tanzania ya kilimo na viwanda haiwezekani mnawahubiria wakulima kulima na huku back up mkulima hakuna msiitegemee crdb ndio ikopeshe wakulima la sivyo...
  14. Sam GM

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi. Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika wimbo wa Mbaraka Mwinshehe kuwa alikuwa mwanamapinduzi. Je, kuna yeyote anaweza kutupatia taarifa...
  15. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe mpambano wa Ubunge kati ya Mwl. na Mkemia Magufuli na Mkulima Phares Kabuye

    UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha. Mwaka...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa ubinafsi na uoga wa viongozi Mkulima huyu Eldoforce Bilohe angechukua fomu ya Urais 2020

    Huyu ndiye mgombea Urais wa CCM aliyenivutia kwenye uchaguzi wa 2015 , zipo tetesi kwamba mwaka huu alishajipanga kuchukua tena fomu , lakini amekatishwa tamaa na utaratibu wa CCM. ==== Mkulima wa darasa la saba ataka urais CCM KATIKA hali isiyo ya kawaida, mkulima kutoka Kijiji cha Mjimtala...
  17. Mt Paulo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiua gugu

    Habari wapendwa, mimi ni mkulima nilipenda kujua kuhusu kiua gugu ambacho kina nguvu zaidi. Dawa ya kuua majani
  18. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya jumla

    Hlw wana jf, natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa nafasi ya uhai, mimi ni kijana mkulima wa papai za kisasa mbegu ya karina na malkia miche 400 shamba lipo Tanita Kibaha. Kwa mawasiliano waweza nichek Whatsapp au kunipigia kwa namba 0686301689 mbarikiwe sana
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkulima wa Tanzania avutia wanunuzi toka Kenya

    Mkulima wa kisasa Galus Msekwa anayeendesha kilimo kwa utaalamu wa juu avutia wanunuzi toka mbali kama miji ya Nairobi na Mombasa. Mtangazaji Captain Gadner Habash alifika katika shamba hilo la mkulima na kufanya naye mahojiano exclusive na kituo cha Televisheni cha Clouds cha jijini Dar es...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mkulima Tajiri

    *Utangulizi* Kampuni ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* inakuletea semina kubwa na ya aina yake ya *Mkulima Tajiri.* *Mkulima Tajiri* ni mfululizo wa semina zinalenga kutoa elimu na mwamko mpya wa Kilimo Mkataba kwa mazao tuliyo na masoko nayo. Kwa kuanzia tutaanza na semina ya Kilimo Mkataba...
Back
Top Bottom