mkulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima mwenye stock ya soya

    Hello! Natafuta mkulima au mtu mwenye stock ya Soya beans ile ya njano kuanzia tani 3 anipe na bei elekezi. Nimeweka picha ya Soya.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaja na Mpango Mkakati wa Kumlinda Mkulima wa Korosho Nchini

    SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Thomas Nkola (Mkulima) awafunguli kesi 5 Mwigulu, January, Mbarawa, Tutuba na Mkurugenzi PCCB

    Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB, Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai, January Makamba, Makame...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

    Hovyo kabisa! Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao! Muda mbona wanao? Hongera mkulima hodari na ingawa haupo"
  5. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mazao ya muda mrefu ndiyo ukombozi wa mkulima - lima kibiashara ufanikiwe

    Wakulima na Washauri wa Kilimo, Salaam! Tukitaka kusonga mbele katika sekta hii ya kilimo inabidi tubadili utamaduni na mfumo mzima wa kilimo kwa kuwa kuendekeza njia za mapokeo imesababisha tuendelee kukwama. Kimkakati mazao ya muda mrefu ni pamoja na avocado (Hass hivi sasa bei kwa...
  6. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

  7. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima aweka wazi hawahofii mafisadi wa CAG aliowaburuza kortini

    MKULIMA aliyewaburuza kortini baadhi ya mawaziri, wakuu wa mashirika na Kampuni binafsi waliotajwa na ahofia mashahidi wa CAG wanaweza kupoteza maisha ikawa nguvu kushungulikia suala hilo Novemba kama Bunge lilivyoamua.
  8. S

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu amsifu Mkulima aliyewaburuza kortini wabadhirifu waliotajwa na CAG

    MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesifu uamuzi aliouchukua mkulima Thomas Nkola, kuamua kufungua kesi mahakamani kushinikiza waliotajwa kuhusika na ubadhirifu wa mabilioni katika ripoti ya mwaka 2021/22 ya CAG kuchukuliwa hatua. Nkola, mkulima na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Utubora mkulima by Shaaban Robert

    KUACHA KAZI Baada ya kutoka Burma, siku moja, Utubora alisimama katika ofisi mbele ya tajiri wake kumwambia kuwa alitaka kuacha kazi. Kazi yake ilikuwa ukarani katika ofisi kubwa ya biashara ya karafuu. Mshahara wa Utubora ulikuwa simulizi karibu katika Unguja nzima; ilisemwa pia kuwa uliwatia...
  11. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkulima wa Pili pili kichaa aina ya African Birds Eye (ABE)

    Hello Habari! Mwenye connection na wakulima wa Pili pili kichaa zile kali fupi nyekundu aina ya African Birds Eye chill (ABE). Please naomba unicheki.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Draft la playok online: Nahisi mkulima ni jini

    Huyu jamaa hajulikani ni nani haswa, ana copy/kete zisizojulikana na finishing kali sana anafunga nazo watu, Ronaldo pale manyanya alisema mkulima anatumia dalmax ya kulipia ya tshs laki 3, hiyo software inauzwa wapi Google play?Mbona nlitafta sijaiona? Mwenye account ya mkulima nasikia anaitwa...
  13. karv

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kulima, mkulima hebu zingati yafuatayo

    1)Eneo shamba lilipo Kabla hujaanza kulima zao lolote, hebu kwanza angalia mahala shamba lako liipo. Je linafaa kwa kilimo au kulima zao ambalo unataka kulilima. Katika eneo lako hebu zingatia yafuatayo:- Aina ya udongo sio kila udongo una uwezo wa kusapoti kila aina ya zao lililopo shambani...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Serekali yangu pendwa mkulima ni yule aliyepo shambani.

    Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkulima adakwa na mabomu, risasi 30 za AK47

    Polisi mkoani Kigoma wamemtia mbaroni mkulima akiwa na mabomu mawili ya kurusha kwa mkono na risasi 30 za bunduki za kivita aina ya SAR/AKA 47 zikiwa kwenye magazine. Kamanda wa polisi wa mkoa huo, Filemon Makungu alisema mwananchi huyo mkazi wa Kijiji cha Nyambemba Wilaya ya Buhigwe alikamatwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Sasa huyu Bashe kamsaidia mkulima au kamuangamiza? Huu mchele wa Ruzuku unaweza kuuzwa 1,500/- kwa kilo

    Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea Bashe ajipime kama anatosha!
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bashe tuletee majina ya wakulima waliouza mchele Tsh 3,500 kwa kilo tukupongeze kwa kumlinda mkulima

    Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara. Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10 wwaliofanikiwa kuuza mchele sh 3,500 kwa kilo ili tuwafahamu twende tukajifunze kwao walivyotajirika kwa kilimo.
  18. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mkulima Rais Samia awezesha ukulima wenye tija

    GTs, Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda. Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu. Mkulima …Halooo ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo? Mkulima… Nzuri mno, za...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba mkulima kijijini anaumia zaidi na Mfumuko wa Bei, tofauti na tunavyoaminishwa

    Watanzania wenzangu ifike mahali tuwe tunafuatilia mambo Kwa kina na tusiwe benderea fuata upepo. Leo hii kuna mfumuko wa bei ya vyakula tunaambiwa mkulima anafaidi. Nasema hivi huu ni uongo Kwa asilimia 100. Mchana kweupe. Mara zote wakulima huuza mazao Yao kipindi cha mavuno kipindi bei iko...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka

    Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi. Nimechukua...
Back
Top Bottom