mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

    "Kesho J3,asubuhi, nitaungana na Familia ya CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili Mdude Nyagali, Mdude amepitia miaka 5 ya mateso na uonevu usio kifani.ataheshimishwa kwa kuisimamia Imani! Naamini haki itatendeka."- @freemanmbowetz
  2. JamiiForums Tanzania Siku nikiwa mkubwa...

    SIKU NIKIWA MKUBWA. Nikiwa mkubwa nitamfundisha mwanangu swala zima la Kutukumbuka sisi wazazi wake baada ya kumkatia simu mara Nne Mama yangu Aliyekuepo kijijini baada ya kuniomba Pesa ya Sukari Nikiwa mkubwa nitakuwa Imaam ,na kumtahadharisha muumini kuhusu Uzinzi ,Baada ya kulala na Mkewe...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi kumi Afrika zenye uwezo mkubwa wa kijeshi

    Habari zenu ndugu zangu wakubwa kwa wadogo. Leo nimeangalia katika BBC Swahili nikakutana na list ya nchi kumi za Afrika zenye uwezo mkubwa kijeshi. Ki ukweli hii list imenishangaza kuona baadhi ya nchi ambazo zimeshindwa hata kuleta amani au hata kutuliza hali ya usalama katika nchi zao...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
  6. JamiiForums Tanzania Bishana na wanaumee wenzako usibishane na mwanamama kimya kingi huwa kina mshindo mkubwa nimeeleweka

    Mama chapa kazi ukiwaheshimu wanakuita mpole hii ni dharau sana mama akiwajibu msilalamike kabisa madonda ya MATAGA yameanza kupona
  7. JamiiForums Tanzania Marekani imewalipa wadukuzi wa mtandao waliodukua system za bomba la matuta na kusababisha uhaba mkubwa wa mafuta kwa siku 5

    Bomba kubwa la mafuta nchini Marekani limeripotiwa kuwalipa wahalifu wa mtandaoni wanaofahamika kama DarkSide kiasi cha dola milioni tano $5m (£3.6m) kama kikombozi ,baada ya bomba hilo kuvamiwa mtandaoni. Bomba la Colonial lilikuwa linapata wakati mgumu kufanya shughuli zake baada ya kudukuliwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ulifanyaje kuendelea kumla x gilrsfriend wako mlio achana kwa ugomvi mkubwa

    Naombeni mipango mikakati ya kuendelea kula tunda kwa X girlfriend, mkiwa mmeachana kwenye ugomvi mkubwa (assume yeye ndio alio-kuacha)... na hamuwasilini ila umemiss kumla mzigo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za barabarani usiku mkubwa

    Hii picha inasambaa kwenye magroup ya madereva. Kuna dereva mmoja kakutana na hii kitu akiwa safarini. Mimi kuna siku natoka Tunduma kuja Mbeya nipo kwenye costa siti ya mbele SAA sita mchana jua Kali ghafla kwenye pori kaibuka mtoto miaka 5-7 kakatisha barabara dereva akamkwepa tukayumba sana...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM ikubali kuwa imetengeneza Taifa la Wamachinga hivyo iendelee kulilea kwa uangalifu mkubwa

    Natoa tu angalizo kwamba hili taifa la Wamachinga limetengenezwa na ilani ya CCM huku Wakuu wa Wilaya na Mikoa wakishindana kutoa kwa wingi Vitambulisho vya Mjasiriamali. Ghafla tena Wakuu wa Wilaya wale wale wanaanza kuwakana wamachinga kwamba wanafanya biashara barabarani na maeneo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini mshahara mkubwa hauhusiani na kipato?

    Habari wanazengo, Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi msijichoshe kufaulu sana, ajira haziangalii ufaulu mkubwa

    Nimecheka leo nilipokuwa maeneo ya mjini huko, nilisikia vijana wakilalamika kuwa; wanajuta kufaulu kwa kiwango cha juu kwani hakuna maana yoyote na haisaidii popote pale. Nina kiji-internet Cafe changu hapa mjini, sasa baada ya kusikia tangazo la ajira za waalimu na afya, nikasema acha...
  13. JamiiForums Tanzania Nisipowapongeza Yanga SC kwa 'Walichokifanya' jana nitajiona ni Mkosaji mkubwa na Mnafiki mno

    Wana Simba SC tuna cha Kujifunza kutoka kwa Wenzetu wa Yanga SC hasa kwa Kukataa 'Kupelekeshwa' kama 'Mazuzu' fulani hivi na ama TFF au Serikali. Mwanaume wa Shoka na Unayejiamini (hata kama ni Masikini) unatakiwa uwe na Msimamo 'Thabiti' kama waliounyesha Yanga SC Jana. Yanga SC ni Watani...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Rais Samia kuwaamini Wapinzani Freeman Mbowe ana mchango mkubwa, apongezwe

    Wote tunajua serikali ya Rais Samia ina waziri mmoja na manaibu waziri watano waliopitia kwenye mikono ya Mbowe kimalezi pale Chadema. Tunaye waziri Kitila Mkumbo na tunao manaibu waziri Mwita Waitara David Silinde, Gekui, Dr Mollel na Patrobas Katambi wote wakiwa wamelelewa na Mbowe. Pia...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

    Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi. Ilianza kwa sauti kubwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk. Je, Serikali itaiendeleza?
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini kila MRADI mkubwa wa barabara anayesimamia/anayejenga ni Mchina au raia wa Kigeni? Kweli Wabongo hatuwezi?

    Nimejiuliza Sana. Kila barabara zinazojengwa sasa, hukosi WACHINA au raia wengine wa Kigeni, ni kweli tuko hoi kiasi Hicho?
  18. JamiiForums Tanzania Kipanya na Mkutano Mkuu wa CCM

    Bado tupo naye yule yule bingwa wa vikatuni. Leo hii naona kaibuka na yanayoendelea pale kwa kina Matonya lakini sijui kwa vifaa hivi alivyoamua kuingia navyo sijui ana maanisha nini.
  19. JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya; Tabia za kitajiri za kuishi kila siku ili kufika kwenye utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukutaarifu kwamba kitabu kipya cha TABIA ZA KITAJIRI; Tabia Za Kuishi Kila Siku Ili Kupata Utajiri, Mafanikio Na Furaha kimekamilika na kiko tayari kwa ajili yako kusoma. Hiki ni kitabu ambacho kimebeba matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanywa kwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mtego Mkubwa sana Mei Mosi hii ya mwaka 2021

    Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe. Rais Samia ameamua kutojitenganisha na Hayati JPM - Mpango Kazi wa Mwaka 2020-2021 umejadiliwa lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…