mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ofisi nyingi hazitaruhusu watu kuingia bila kuwa na chanjo

    Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo. Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi. Kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi huyu Mtengeneza Matukio na Msahaulishaji Matukio katika Vichwa vya Watanzania analipwa Mshahara mkubwa sana

    Popote alipo huyu Mtu ajue kuwa Krav Maga namkubali na Mimi pia natamani Siku moja niwe kama Yeye. Huyu Mtu Yeye Kazi yake ni Kusoma Kwanza upepo wa Watanzania hasa Kifikra kisha anaanza Kucheza na Akili zetu. Ana uwezo wa Kutengeneza Jambo au Tukio la Kuibua Hisia Kubwa kisha kwa muda mfupi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu amkeni; adui yetu mkubwa ni Bunge letu na Uongozi wake

    Ndugu zangu naomba tujue mahala pa kuanzia kuelekeza malalamiko yetu. Kwa muda mrefu sasa wale tunaowatuma bungeni kutuwakilisha wameshindwa kabisa kutekeleza wajibu wao badala yake ndio wamekuwa wanatuchongea kwa mamlaka za nchi kuwa tukandamizwe kwa kukatwa makodi kibao. Mfano mdogo ni huyu...
  4. Abdoun

    JamiiForums Tanzania Nahitaji malori mengi yanayorejea Tanzania kubeba mzigo mkubwa hapa Zambia

    Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tambua ufanisi na umuhimu mkubwa wa job Junction Tanzania

    UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION: Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees . Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wizi Mkubwa Ukarabati wa Flati za NSSF

    Kule Masaki NSSF wanafanya ukarabati mkubwa wa gorofa zake. Ukarabati huo unahusisha uvunjaji na kubadilisha madirisha na magrill, kupaka rangi n.k. lakini kazi hii wanaifanya wenyewe hawakumpa Contractor wala hakuna usimamizi wa injinia wa majengo mwenye ujuzi, wanatumia vibarua wa mitaani...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi mkubwa wa Serikali za Afrika

    Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni Ford, Toyota, Nissan, Jeep . Cha ajabu ukienda kuulizia Toyota wenyewe wanakwambia Gari za hapa USA...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  9. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

    Nawasalimu kwa Jina la JMT. Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11. Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
  10. JF Member

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Atakayefanya usaliti hata kama ni mkubwa, tutamshughulikia

    Moja kati ya maelezo ya Lissu wakati akihojiwa na kituo cha Habari huko nchini Kenya alieleza kwamba atakae fanya usaliti hata uwe mkubwa aina gani tutakushughulikia. Maelezezo haya yalitokana na kile kinachoonekana kwamba wale wabunge 19 wamesaliti Chadema na wameshawashughulikia. Haraka...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Bandari Bagamoyo: Job Ndugai historia itakuhukumu, umeonesha unafiki mkubwa, ni heri ukae kimya

    Hebu tumtazame Job hapa chini. Huyu alikuwa kiongozi wa Mhimili au vip?..Mbona amekuwa mnafiki kiasi hiki huyu mzee? https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-ataja-sababu-kusitisha-ujenzi-bandari-ya-bagamoyo-kwa-mkopo-wa-dola-bilioni-10.1593875/...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Habari wanajamvi, Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania. Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yanga mrudisheni Lamine Moro haraka sana, uchochoro wa beki zenu ni mkubwa sana

    ☝ Expansion Joint ya Chuo kikuu cha DSM kama mnaikumbuka ndio mfano halisi wa mabeki wa Yanga . Bila Lamine Moro hawataweza kupata Clean sheet milele, unaweza kudhani Mwamnyeto ni beki bora, lakini ukweli ni kwamba Mwamnyeto ni uchochoro sana, hajitumi kabisa, nadhani lengo lake alipokuwa...
  14. olele

    JamiiForums Tanzania Uongo mkubwa kabisa kuwahi kuushuhudia

    Toka nikiwa mdogo nilikua naona matangazo kwenye TV zile "mashine za kunyolea mdevu" japo sio mashine, (sheva) maarufu sana ni brand ya Gillete, wanatangaza ni kwa ajili ya kunyolea ndevu, na niliamini kabisa ni kwa ajili ya kunyolea ndevu. Sasa nimeshangaa nimekua mkubwa na ndevu ninazo lakini...
  15. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria(sharia) za wanawake Saudia Arabia: Ushindi Mkubwa Kwa Wanawake hao

    SHARIA(SHERIA) ZINAZOWABANA WANAWAKE ZIMEBADILISHWA RASMI. **************************** Kwa kipindi kirefu wanawake nchini Saudi Arabia wamekuwa wakipambana ili kubadilika kwa sheria(sharia) ZINAZOWABANA kama ifuatavyo; 1)Kuzuiwa kuishi peke yao kwa walio na miaka zaidi ya 18 kabla ya kuolewa...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

    "Kesho J3,asubuhi, nitaungana na Familia ya CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili Mdude Nyagali, Mdude amepitia miaka 5 ya mateso na uonevu usio kifani.ataheshimishwa kwa kuisimamia Imani! Naamini haki itatendeka."- @freemanmbowetz
  17. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Siku nikiwa mkubwa...

    SIKU NIKIWA MKUBWA. Nikiwa mkubwa nitamfundisha mwanangu swala zima la Kutukumbuka sisi wazazi wake baada ya kumkatia simu mara Nne Mama yangu Aliyekuepo kijijini baada ya kuniomba Pesa ya Sukari Nikiwa mkubwa nitakuwa Imaam ,na kumtahadharisha muumini kuhusu Uzinzi ,Baada ya kulala na Mkewe...
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi kumi Afrika zenye uwezo mkubwa wa kijeshi

    Habari zenu ndugu zangu wakubwa kwa wadogo. Leo nimeangalia katika BBC Swahili nikakutana na list ya nchi kumi za Afrika zenye uwezo mkubwa kijeshi. Ki ukweli hii list imenishangaza kuona baadhi ya nchi ambazo zimeshindwa hata kuleta amani au hata kutuliza hali ya usalama katika nchi zao...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
Back
Top Bottom