mkopo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nina hitaji mkopo wa milioni moja na nusu

    Mimi ni mfanyabiashara mdogo ambae bado sijafikia level ya kukopesheka benki. Nina shida ya mkopo wa milioni moja na nusu ili niweze kukuza biashara yangu. Dhamana niliyonayo ni hati ya mauziano ya kiwanja na kadi ya gari. Napatikana iringa, naombeni mkopo wadau
  2. JamiiForums Tanzania Nataka chukua mkopo benki

    Habari, nimehitimu chuo(Lingusitic teacher) ninawazo lakufungua photo na local video production (Songea) Nataka ingia bank omba mkopo (3mil.) kwaajili ya printer navifaa vingine. Camera nacomputer ninavyo tayari. Mnishauri wakuu, maana dhamana nataka weka hati ya nyumba ya urithi lenye eneo...
  3. JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Nabonyeza wapi? Kukata rufaa ya mkopo bodi

    Nipo hapa najaribu kukata rufaa lakini sijui unabonyeza wapi hebu nisaidieni.
  5. JamiiForums Tanzania CRDB wiki mbili hawajaingiza mkopo

    Toka nimeomba mkopo CRDB zimepita siku15 bila kuingiziwa mkopo wangu. Taratibu zote nimefuata ikiwemo makato kuingizwa hadi muda huu sielewi hii bank ina shida gani. Mbaya zaidi afisa mkopo hapokei simu yangu. Mliopo mjinj niambieni kuna nini uko maana niko shamba nalima na nilitegemea pesa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hili la kuhama ukiwa na mkopo mpya

    Habari wakuu? Naomba kuuliza hivi mfano mtumishi amechukua mkopo Nmb mpya baada ya siku nne au wiki anapata barua ya uhamisho kutoka kwa katibu mkuu utumishi anahama kutoka kwa DED kwenda kwenye shirika la serikali je ule mkopo hauwezi ukaathiri uhamisho wake kwenda kwa mwajiri mpya?
  7. JamiiForums Tanzania HESLB 2020/2021 kwa wanafunzi wa Postgraduate

    Wadau nauliza utaratibu wa HESLB 2020/2021 juu ya wanafunzi wa POSTGRADUATE kunako upewaji wa Mkopo, JE nawao wanaunganishwa kwenye hizi BATCH 2 zilizotangazwa?
  8. JamiiForums Tanzania Kumbukeni Hizo Pesa za Mkopo wa Chuo Zinarudishwa mara baada ya Kuajiriwa tu

    Pamoja na Sherehe mnazofanya mitaani kumbukeni pesa za Mkopo zinarudishwa kwa Rate ya 15% kwenye Basic Salary let say umeajiriwa unalipwa 2.5M utakatwa jumla ya sh. 0.375 Million so tukumbuke kuwa pesa inarudishwa ili na wengine wasomee pia kuna adhabu kama utachelewa kulipa ndani ya mda baada...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vikuu Rais haja ahidi kuwapunguzia riba ya mkopo wa chuoni badala yake ataongeza idadi ya wanufaika

    Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya 15% . ushauri wangu ni wazazi wajitahidi kutafuta pesa wawasomeshe watoto si kwa mikopo maana...
  10. JamiiForums Tanzania Continous walioomba mkopo mwaka 2020/21 wanaweza kupangiwa?

    Naomba kufahamu wanachuo wanaoendelea na masomo, wengi wakiwa mwaka wa pili walioomba mkopo mwaka huu(2020/2021) wamaweza kupata? Na huwa batch ya kwanza haiwahusu kabisa! Au inakuwaje! Wakuu naombeni msaada hapo kwa aliye na uzoefu!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Million 100 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji

    Habari za majukumu ndugu zangu, Nina wazo la kukopa bank kiasi cha pesa Million 100 kwa ajili kununua mitsubishi canter 2 zenye uwezo wa kubeba tani 3.5 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji bidhaa na mizigo. Mwenye wazo lolote juu ya hili naomba anisaidie.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ashawahi kupata mkopo halopesa HALO MKOPO?

    Kama ilivyo mitandao mingine tigo nivushe,voda songesha pia nimeona halo mkopo,lakini hawa halo mkopo...Mbona kila siku wanadai huduma hii itakujia punde...Vp tatizo ni nini...Finca mnafeli wapi
  13. JamiiForums Tanzania Hivi benki inaweza kukupa mkopo kwa kitambulisho cha Ujasiriamali?

    "Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe. Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha mjasiriamali kumsaidia mtu kupata mkopo. Je, ni kweli au?

    oi
  15. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata wafanyabiashara wa bidhaa hizi ambao wako tayari kuuza bidhaa zao kwa wingi zaidi ila kwa mkopo wa muda mfupi?

    Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12. Ningependelea zaidi kupata wale wanaohusika na Vifaa vya ujenzi kama vifaa vya umeme, mabomba, tofali...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

    Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangalla alionekana akiwanadi ng'ombe wake Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi. Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu...
  17. JamiiForums Tanzania Mkopo wa dharura unahitajika

    Habari za leo wanaJF Mimi ni muajiriwa katika taasisi binafsi, nina uhitaji wa mkopo wa dharura wa Tshs 200,000/- (laki mbili) kwa dhamana ya vifaa vidogo nilivyonavyo. Malipo nitayafanya ndani ya mwezi (mpaka kufikia mwishoni mwa mwezi September) Yeyote mwenye kuweza kuwa na msaada wa haraka...
  18. JamiiForums Tanzania Mkopo wa Elimu unapokuwa wa kinyonyaji

    Wanufaika wa mkopo wa elimu kilio kilio na ndo mana wengi wanakimbia wasilipe mkopo. Serikali iondoe tozo ya 6% (value retention fee) inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kila mwaka kwa kila mnufaika. Tozo hii inafanya mkopo usilipike na inaleta umaskini kwa wanufaika. Mkopo...
  19. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Kwanini mnataka kunisitishia huduma ya kukopa M-PAWA halafu tena mnaniuliza kama ninahitaji mkopo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka Mkopo wa haraka wa Milion 4.5 naweka gari Dhamana

    Nataka mkopo wa 4.5m Kabla ya saa 10, naweka gari dhamana, kwakweli nina shida ya haraka, Mashart ntayafuata atakayo Gari ni Vits new model ya mwaka 2009, Napatikana Dar as salaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…