CRDB wiki mbili hawajaingiza mkopo

Njanga Tz

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
843
653
Toka nimeomba mkopo CRDB zimepita siku15 bila kuingiziwa mkopo wangu. Taratibu zote nimefuata ikiwemo makato kuingizwa hadi muda huu sielewi hii bank ina shida gani.

Mbaya zaidi afisa mkopo hapokei simu yangu.

Mliopo mjinj niambieni kuna nini uko maana niko shamba nalima na nilitegemea pesa nizitumie kwenye kuazima tractor.

CRDB wanakwama wapi jamani?
 
Vip mkuu wameshakupa huo mkopo? Mi pia nina karibu mwezi bado kimya
 
Hawa CRDB hovyo kabisa, nina mwezi Sasa mkopo siuoni, taratibu zote nimekamilisha.

Hii Benki sasa imekuwa ya hovyo na inawezekana imefilisika. Ofsa mikopo hapokei simu. Sijui wanaandaa mazingira ya Rushwa. Crdb
 
Tutawalaumu bure CRDB. Wenye "mkono mrefu" walishaiharibu tangu alivyotoka Kimei.
 
Hii Benki siku hizi inalalamikiwa sana.. Yafaa wajitathmini kisha wajirekebishe
 
Hata mm nawashangaa..jana nimeibuka kwa meneja wa tawi langu..anasema.oohh ni swala la mtandao ila watalimaliza soon...na anadai hata wao inawasikitisha sana.
Ila Afisa Mikopo anaenishughulikia anadai hela hawana...wanashindwa kusema tu.

Tena mimi na makato wameanza ila NO mkopo
 
Pole mkuu, Mumivu ya mabadiliko yamewakuta CRDB.
Ila yote kwa yote hakuna kitu kizuri kama kufuata taratibu, hata kama hakuna anayekufuatilia.
 
Hata mm nawashangaa..jana nimeibuka kwa meneja wa tawi langu..anasema.oohh ni swala la mtandao ila watalimaliza soon...na anadai hata wao inawasikitisha sana.
Ila Afisa Mikopo anaenishughulikia anadai hela hawana...wanashindwa kusema tu.

Tena mimi na makato wameanza ila NO mkopo
Yaani unalipa mkopo ambao haujachukua kisha hicho unacholipa ndio uje kukopeshwa hahahaaaaaaaa maisha bana

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Vp mkuu, badae walikupa mkopo, au wanaendelea kukukata tu, maana hata mm nina shida kama hyo
 
Unapochukua mkopo CRDB usiwe na haraka, inaweza chukua mwezi na sehemu. Mara nyingi watasubiri uanze kukatwa rejesho la kwanza then a week or more after wanakupa. Hayawezi kufika marejesho mawili hawajakupa mkopo.
Sema Watanzania tunataka vyote, unafuu na haraka.
NMB wapo haraka lakini riba ipo juu kiasi.
Pia Nmb unapo'renew hawako fair, wanamakato makubwa si kama CRDB.
 
Yani kuna mtu nataka kumuuzia kitu ni kitu kama mwezi na wiki mbili anasubiri mkopo CRDB. Mpaka nikajua ameghairi hayo mauziano
 
Unapochukua mkopo CRDB usiwe na haraka, inaweza chukua mwezi na sehemu. Mara nyingi watasubiri uanze kukatwa rejesho la kwanza then a week or more after wanakupa. Hayawezi kufika marejesho mawili hawajakupa mkopo.
Sema Watanzania tunataka vyote, unafuu na haraka.
NMB wapo haraka lakini riba ipo juu kiasi.
Pia Nmb unapo'renew hawako fair, wanamakato makubwa si kama CRDB.
Ili tatzo naona ni nchi nzima mkuu na kuna watu waliomba tangu mwezi wa 12 ila mpka sasa hawajapewa mkopo
 
Back
Top Bottom