mkopo

  1. M

    Unatakiwa kupewa nini baada ya kurudisha mkopo wote benki?

    Habari, Naomba tuelimishane kuhusu mikopo ya bank kwa wafanyakasi na wafanya biashara. Pale umefanikisha kurudisha mkopo wao wote, wanatakiwa kukupa nini Je, utarudisha mkopo uondoke zako bila kupewa chochote, nauliza kwakua unapo chukua mkopo, unasign mikataba, unajaza fomu, unandika barua...
  2. Mnada wa Benki baada ya kuuzwa mali yako unaweza kubatilishwa kwa mambo mawili makuu

    Kushindwa kulipa deni hakuhalalishi ukiukaji wa haki za msingi za mkopaji. Mkopaji pamoja na kuwa ameshindwa kulipa deni kwasababu zozote zile bado analindwa na sheria katika haki alizonazo. Kuanzia kushindwa kufanya marejesho mpaka kuuza mali ya mdeni kwa nnada kuna taratibu za kisheiria...
  3. Msaada kuhusu mawasiliano ya Bodi ya Mkopo (HESLB)

    Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya sasa!!!!
  4. Kukwama kwenye kufungua Account ya kuomba mkopo wa elimu ya juu HESLB

    Habarini za kazi wadau! Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
  5. Car4Sale Tunauza magari yaliyotumika kutoka Dubai kwa cash na Mkopo

    Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano zaid Call or Whatssap (0719415519)...
  6. S

    Msaada wa mkopo ngazi ya Diploma

    Nilikuwa naomba mwongozo kwa anayefahamu kuhusu mkopo wa elimu ngazi ya diploma.
  7. Hivi ukikopa trekta unaweza toboa?

    Wazo la kukopa trekta HP 50 kulima mashamba yako kukodisha Mara chache ili upate mafuta.Kulima heka 600 yaani eka 20 kwa siku. Mazao ni yale yasiyo na changamoto nyingi mfano kunde, karanga,mtama,mihogo,viazi vitamu,mbaazi,njugu. mategemeo ni gunia 1000 kwa msimu mmoja wa zao moja wapo. HP 50...
  8. Msaada: Aliyewahi kuchukua simu za mkopo kutoka Airtel

    Habari wakuu, Nimeona matangazo mengi sana kuhusu simu za mkopo nilikuwa nina mpango wa kumchukulia mtu aweze kutumia. Sasa swali langu kama kuna mtu yoyote alishawahii kuchukua na akawa analipa mdogo mdogo anipe ABC, simu nayotaka ni samsung A04e. Mfano ukachelewesha malipo siku mbili...
  9. Car4Sale Tunauza magari kwa cash na mkopo pia tunaagiza magari nchi mbalimbali

    Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519} List...
  10. Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  11. G

    Naomba kujuzwa changamoto na ya kuzitatua wakati wa kuomba mkopo chuo kupitia HESLB

    Habari wanaJF Naomba kujua, kuna aliyefanikiwa kuomba mkopo?, Unakutana na changamoto gani na unatatuaje?
  12. Mkopo kwa vyuo vya kati

    Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati?
  13. Nichukue mkopo bank gani?

    Habari zenu wakuu. Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je? Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe. Natanguliza...
  14. Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  15. Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu. Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa. Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500. Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
  16. F

    Mkopo wa trillion 1 kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege Pemba na barabara kilometer 800 Zanzibar pekee, uwiano wa kibajeti upo wapi?

    Maelezo ya mkopo huo mkubwa kuwahi kutokea kwa Zanzibar yapo mwisho kabisa mwa uzi huu. Hoja yangu kubwa ni uhitaji wa kujenga kiwanja kikubwa cha kimataifa katika kisiwa cha Pemba wakati tayari upo uwanja kama huo Unguja ambapo ni kilometer 100 tu kutoka Pemba. Pia kujenga kilometer 800 za...
  17. Wafanyabiashara wa electronics tengenezeni utaratibu wa bidhaa za mkopo

    Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M -5M... Bidhaa za thamani hii kwa mkoa wa Dar es Salaam zinauzika kwa kasi ya chini sana na...
  18. SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
  19. Benki ya Dunia imetoa Mkopo wa zaidi ya Shilingi Bilioni 700 Kwenye Kilimo

    Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh700 bilioni kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mkopo huo uliotolewa chini ya programu ya matokeo (PforR) ambayo...
  20. Mbunge Sanga ahoji matumizi ya mkopo wa Bilioni 350 Bajeti Wizara ya Ardhi

    MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…