Kupangiwa mkopo kwa mwanafunzi anae endelea na masomo

naleas

Member
Apr 19, 2022
32
16
Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
 
Ehee anaweza pangiwa sio Sapp tu ata awe na carry Cha msingi awe na gpa ya kuendelea na masomo mwaka mpya wa masomo kulingana na kanuni za chuo chake
 
Back
Top Bottom