Uchaguzi 2020 Ukimya wa Dkt. Slaa na Edward Lowassa wakati huu wa kampeni ni kumuunga mkono Tundu Lissu Kimya kimya?

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,748
2,000
Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa. Hii ina maana gani kipindi hiki ambacho Magufuli anahitaji sapoti kubwa kutokana na kupambana na mgombea mahiri na mwenye mvuto kama Lissu?

Je, ni aina fulani ya kuunga mkono hoja za Lissu kwa hiyo hawaoni haja ya kumtetea yule aliyewahonga vyeo? Kwa kawaida manguli hawa huwa wanasikika wakitoa neno na hata walipohamia CCM walitoa mawazo yao kama wadau wa siasa na maendeleo za hapa nchini.

Wako wapi akina Mangula, wako wapi akina Kikwete, wako wapi akina Mwakyembe, wako wapi akina Nchimbi?
Au ndio wameona mgombea wao hauziki tena?

Nawasilisha kwa maoni zaidi.
 
anophelesi

JF-Expert Member
May 25, 2012
1,139
2,000
Tuwaache wazee wa watu wapumzike. Mfano Mzee Slaa alipambana mpaka CCM wakamlemaza mkono kwa kipigo. Mwacheni apumzike sasa.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,736
2,000
Chadema mlivyowafukuza kama mbwa sasa mnapata jibu. Mngeachana nai kwa staha Lowasa , Duni Haji,Zitto Kabwe, Slaa,Lipumba na Mbattia makundi yao saa hii yangekuwa nanyi kuunga mkono mgombea wengi Lisu

Lakini Lisu is so arrogant na ndie aliyesababisha separation mbaya na ujuaji wake bila kuangalia political future ya chama na yake mwemyewe kisiasa in future kuwa aweza wahitaji mbeleni!!!

Ndio maana nasema tena Lisu hakujiandaa kuwa mgombea uraisi na Chadema haikus na yeyote mliyemwandika kugombea uraisi

UKAWA ilikuwa golden opportunity kwa chadema ambayo ilitakiwa ilindwe kwa gharama zote chadema wakapuuza. Sasa mgombea wao Lisu anahaha meningitis shuka wakati kumekucha ameanza juniors Slaa na Lowasa sababu kampeni kwake ngumu yenye maandalizi hafifu na yasiyoeleweka

Ukweli ulio wazi ni kuwa chadema ilibebwa na UKAWA bila ya UKAWA chadema hamna kitu ni chama cha kawaida sana ndio maana Dar as salaam gnome ya COM,CUF na ACT wazalendo Chadema mikutano yao Imedoda wakatimka mbio kukimbia mjini
Dar ilibebwa na UKAWA 2015.Wameachwa peke yao limewadodea .Zanzibar kumemshinda.Saa sehemu mbili kubwa ambazo tayari zimewadodea chadema ni Dar na nchi yote ya Zanzibar
 
kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
7,442
2,000
Hawa wote na wengine wengi kura zao ni kwa Lissu, mzee Baba wanampenda kishingoupande
 
REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
2,412
2,000
Chadema mlivyowafukuza kama mbwa sasa mnapata jibu. Mngeachana nai kwa staha Lowasa , Duni Haji,Zitto Kabwe, Slaa,Lipumba na Mbattia makundi yao saa hii yangekuwa nanyi kuunga mkono mgombea wengi Lisu

Lakini Lisu is so arrogant na ndie aliyesababisha separation mbaya na ujuaji wake bila kuangalia political future ya chama na yake mwemyewe kisiasa in future kuwa aweza wahitaji mbeleni!!!

Ndio maana nasema tena Lisu hakujiandaa kuwa mgombea uraisi na Chadema haikus na yeyote mliyemwandika kugombea uraisi

UKAWA ilikuwa golden opportunity kwa chadema ambayo ilitakiwa ilindwe kwa gharama zote chadema wakapuuza. Sasa mgombea wao Lisu anahaha meningitis shuka wakati kumekucha ameanza juniors Slaa na Lowasa sababu kampeni kwake ngumu yenye maandalizi hafifu na yasiyoeleweka

Ukweli ulio wazi ni kuwa chadema ilibebwa na UKAWA bila ya UKAWA chadema hamna kitu ni chama cha kawaida sana ndio maana Dar as salaam gnome ya COM,CUF na ACT wazalendo Chadema mikutano yao Imedoda wakatimka mbio kukimbia mjini
Dar ilibebwa na UKAWA 2015.Wameachwa peke yao limewadodea .Zanzibar kumemshinda.Saa sehemu mbili kubwa ambazo tayari zimewadodea chadema ni Dar na nchi yote ya Zanzibar
Too low evaluation!
 
lebabu11

JF-Expert Member
Mar 27, 2010
2,010
2,000
Kumuunga mkono mgombea haina maana ya kupiga makelele bila kutumia akili au kuambatana naye kila mahali.

Wapo wengi wenye hekima wanaojua umuhimu wa uongozi bora na amani ya nchi, hivyo kufanya kampeni kimya kimya lakini zenye ustaarabu na tija kubwa.
 
Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
800
500
Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa. Hii ina maana gani kipindi hiki ambacho Magufuli anahitaji sapoti kubwa kutokana na kupambana na mgombea mahiri na mwenye mvuto kama Lissu?

Je, ni aina fulani ya kuunga mkono hoja za Lissu kwa hiyo hawaoni haja ya kumtetea yule aliyewahonga vyeo? Kwa kawaida manguli hawa huwa wanasikika wakitoa neno na hata walipohamia CCM walitoa mawazo yao kama wadau wa siasa na maendeleo za hapa nchini.

Wako wapi akina Mangula, wako wapi akina Kikwete, wako wapi akina Mwakyembe, wako wapi akina Nchimbi?
Au ndio wameona mgombea wao hauziki tena?

Nawasilisha kwa maoni zaidi.
Sasa huko unakosema, inje ya kiki ya miujiza na kutoza sadaka, kuna upinzani?
Sioni upinzani wa kuwaamusha nagwiji wa siasa kama akina Dr. Slaa na lowasaa.
Upinzani ulipokuwepo 2015 hukuwa ona akina Dr. Slaa wakitema nyongo?
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,748
2,000
Kumuunga mkono mgombea haina maana ya kupiga makelele bila kutumia akili au kuambatana naye kila mahali.
Wapo wengi wenye hekima wanaojua umuhimu wa uongozi bora na amani ya nchi, hivyo kufanya kampeni kimya kimya lakini zenye ustaarabu na tija kubwa.
Tutajuaje?
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,909
2,000
Ni Kama Magufuli kajiamini na CCM mpya aliyojitengenezea CCM asili wapo kimya. Maybe mambo yakikaza atawatoa mafichoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom