Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,274

Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Wafanyabisshara kodi itatokana na mapato yako, hakuna kodi za kukomoana. Mwezesheni Lissu kufanikisha haya.

Kiongozi ingependeza sana kama ungeweka hapa na maelekezo ya namna tutavyorusha pesa ,ingesaidia sana turushe mafaida ya biashara yakalete Ukombozi.
Magufuli karegea huko anakata tu mauno, raha kama nini...
Na kura zetu zote bila kujali chama gani ni kwa mbeba maono.. #NIYEYE
 
Yeye mwenyewe maneno tu, unafikiri ukipanda upepo utavuna nini kama sio vumbi?.JPM tano tena.
 
Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Wafuasi wengi wa chadema waligoma kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura baada ya kukosa dola 2015, hata wakichanga kura hazitatoshaaa.
Saitakuaje
 
Wanaotaka mabadiliko ni watanzania sasa wewe unaeleta ubaguzi sijui umetoka wapi?
Kwani wewe Ccm huisomi namba kwa upumbavu wa jiwe?
Hujachoka kuishi kama shetani ?
Au wewe ni shetani mwenyewe?

Sisi wa Tz ambao ni wafanyakazi ,wafanyabiashara na wakulima tumeamua sijui ninyi madanga ya chamwino
 
Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.
Tulio kosa ajira kwa miaka 5 ni yeye 2020
 
Back
Top Bottom