Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu?

Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania.

Hivi wana JF is it ok kutumia mswaki wa mke/mpenzi wako?? Hakuna madhara? Niutupe mswaki au?

Kinachonifanya nisite kutupa huu mswaki nimeagiza karibuni kutoka Uk na ni bei mbaya (wisdom toothbrush)
 
Huo uchemshe na maji ya moto kama hutaki kuutupa.......kushare kwa kweli dah haijakaa sawa hata kama tunabusiana kila saa lakini si mswaki....
 
Kwaupande wangu apana sioni Kama sawa,kwanza nikiona msuwaki wangu unamaji na nna wasi wasi nao utaishia kwenye bin, mwenzangu afya muhimu kuliko pesa utupeeeeee naiwebasi,nunuaa japo wa mti..
 
Denda na mswaki si ndo yaleyale?

It's all in the head. Tena denda ndiyo baya zaidi maana unalamba bakteria na kuwameza moja kwa moja toka kwenye chanzo lakini kwa vile hilo tendo mara nyingi hufanyika wakati mtu umeshajitoa fahamu kiaina ndiyo maana inaonekana kama ni sawa.

Sasa mswaki unaweza ukauusuza na ukiusuuza na maji ya moto utakuwa umeua bakteria wengi tu. Sasa kwenye denda wangapi huwa wanasuuza midomo yao kwanza kabla hawajaanza kulambana? Kwa hiyo, kisayansi mimi naona bora mswaki kuliko chungwa, ila hapa kinachohusu zaidi ni muktadha.
 
It's all in the head. Tena denda ndiyo baya zaidi maana unalamba bakteria na kuwameza moja kwa moja toka kwenye chanzo lakini kwa vile hilo tendo mara nyingi hufanyika wakati mtu umeshajitoa fahamu kiaina ndiyo maana inaonekana kama ni sawa.

Sasa mwaski unaweza ukauusuza na ukiusuuza na maji ya moto utakuwa umeua bakteria wengi tu. Sasa kwenye denda wangapi huwa wanasuuza midomo yao kwanza kabla hawajaanza kulambana? Kwa hiyo, kisayansi mimi naona bora mswaki kuliko chungwa, ila hapa kinachohusu zaidi ni muktadha.

Nyani umekuwa Doctor siku hizi??

Na vipi kuhusu kuzamia chumvini???
 
Nyani umekuwa Doctor siku hizi??

Na vipi kuhusu kuzamia chumvini???

Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?

Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.

Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and a cup".
 
Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki
akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu? Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania.
Hivi wana Jf is it ok kutumia mswaki wa mke/mpenzi wako?? Hakuna madhara? Niutupe mswaki au?
Kinachonifanya nisite kutupa huu mswaki nimeagiza karibuni kutoka Uk na ni bei mbaya (wisdom toothbrush)
Kwani huwa hambadilishani "mate"???so why toothbrush ma men?
 
Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?

Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.

Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and cup".

.

Duh! Mkuu NN,

Kama kuna Binadamu ambae anaweza kuangalia hata kwa dakika 1 hiyo video 2 Girls 1 Cup bila hata ya nywele kusisimka, kutapika etc - bila kujali kama ni mzungu, mswahili, au race yoyote ile .. basi utakuwa binadamu mwenye roho ngumu sana ... as 2 girls 1 cup is the most horrific shock video I think ever created dunia nzima!

Dah! ... siku yangu ishaharibika kwa kulisikia hili jina tena

Dah! ...Dah! ...Dah! ...Dah! ...Dah! ...

:embarassed2:
.
 
.

Duh! Mkuu NN,

Kama utaweza kuangalia hata kwa dakika 1 hiyo video2 Girls 1 Cup kitu basi utakuwa binadamu mwenye roho ngumu sana ... as 2 girls 1 cup is the most horrific shock video I think ever created dunia nzima!

Dah! ... siku yangu ishaharibika kwa kulisikia hili jina tena

Dah! ...Dah! ...Dah! ...Dah! ...Dah! ...

:embarassed2:
.

Hahahahaaa.....almanusra nitapike nilipoiona hiyo video kwa mara ya kwanza na ya mwisho. Kilichobaki ni kumbukumbu ya jina tu.
 
Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki
akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu? Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania.
Hivi wana Jf is it ok kutumia mswaki wa mke/mpenzi wako?? Hakuna madhara? Niutupe mswaki au?
Kinachonifanya nisite kutupa huu mswaki nimeagiza karibuni kutoka Uk na ni bei mbaya (wisdom toothbrush)

mbona hiyo miswaki ipo mingi sana......
na hii ya kushare mswaki nadhani tulishaiongelea sana......ngoja nikailete......
Ila for me......kushare......no way....a a.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom