mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Count Capone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

    Nawasihi Usioe Mwanamke mpumbavu! Full Part 1 Part 2 Part 3 Eti anasema kabisa “kaiba mishumaa yangu” Aah kmk
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

    Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi). Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa. NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijamuelewa mke wangu

    Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda...
  4. Heci

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato. Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya. Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta...
  5. Achapombe cha pombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa tu nikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale

    Huyu mwanamke anatia aibu sana. Awali tumwkubaliana na tulikulana Sana. Ametoa Siri nyingi za mumewe. Hadi naona aibu. Namkwepa sana. Nnikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale.. Wanawake ambao Kwa bahat mby waume zao wanaume sukar nk Ile kazi ya ndani...
  6. Girland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa VS Usioe grand finale!

    TEAM NDOA VS TEAM USIOE Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una mantiki na manufaa kwako. NDOA NI KWA AJILI YA NANI?  Ukipata majibu ya swali hili utaelewa maana...
  7. Phobia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

    Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo...
  8. SPACE CADET

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

    Hiki kisa nimekichukua FB asee Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu. Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

    Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia. USSR
  10. Mamujay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimkopesha mtaji akaenda kumwambia mke wangu yeye ni mke mwenza

    Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini. Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela yangu ameshanilipa sasa balaa ni hapo anasema nilimhonga na anatamba kwa mke wangu yeye ni mke mwenza...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa lipa shika tuondoke ndio mnataka tuoe sio?

    Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo Mnabidi jinsi mlivyo anzisha kampeni yenu ya feminist ndo mpambane kuwazuia wanawake wenzenu wanaogawa uchi...
  12. Phobia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

    Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani. Niko na age 27 ila mpaka sasa...
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    Napata sonona sana wakuu kwa huu umri until now sina mume wala mtoto wa kuzugia. Nachanganyikiwa nafsi inanisuta na napata sonona za mara kwa mara kutokana na kutokuwa na mke wa kunituliza mambo yangu yakiwa heavy weight. Japo financially sio mbaya niko fine angalau kwa maisha ya MTanzania...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nautafuta mwenza (Ke)

    Wakuu wasalaaam, Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu. Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja. Umri wangu ni 38. Kwa taarifa zaidi karibu sana PM kwa aliyeguswa. Nawasilisha.[emoji119]
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Eva tuanzishe bustani yetu (mke na mume)

    Hello Wana JF, Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu. Sifa ya Eva ninaye mtaka; ~ Awe na umri 28-35. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila lolote. ~ Akiwa na mtoto haina shida...
  16. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwahiyo Dkt. Mwaka hatagawana mali pasu kwa pasu na mke wake kama ilivyo kwetu wakristo tukiachana?

    Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu? Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

    Bi Queen apiga magoti na kusema anachohitaji zaidi yeye kwa sasa ni Amani, na kwamba yuko tayari kumuachia Mwaka kila kitu ili abaki na amani na kulea watoto wake. Amesema kuwa anatamani mwisho wao uwe na amani, na kama kuna chochote Dkt. Mwaka anakihitaji basi amwambia ni njia zipi apite...
  18. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa ndugu yangu aivunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe

    Waslaam wakuu! Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja. Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa mvulana na msichana. Ilifika wakati maisha yakabana Sana jamaa yangu akalazimika kwenda mjini kuhenyeka...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Mke wa marehemu Atanasi wa ajali ya Korogwe amenihuzunisha sana

  20. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

    Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Back
Top Bottom