Natafuta mke

Portal

Member
Feb 14, 2023
29
77
Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali.

Nimetumia muda wangu mwingi kuwekeza katika sector mbali mbali Ili nipige vita umaskini kwa sababu nachukia umasikini na aina zake, hakuna kitu kibaya kama umaskini.

Kwa kuwa nimejipanga vizuri sasa natafuta mke ili tuwe na familia vile vile tusaidiane na mke kusimamia miradi iliyopo na kuanzisha miradi mingine.

Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.

Kutokana na mila na tamaduni za Kiafrika miaka 38 bila kuwa na familia naesabiwa kwamba nimechelewa kwangu mimi bora nichelewe ila nifike salama.

Nimewekeza katika sector mbali mbali kama vile
(a) Accomodation service(s)
(b) Wholesale and retail trades
(C) Live stock herding
(d) Financial services etc.

Sifa zangu.
  • Economic fighter
  • 38 years of age
  • Poverty protestant
  • Am posesing more than one university degrees
Sifa za mke
  • Economic fighter
  • matured woman from 28 to 37 years of age.
  • Mchapa kazi.
Wito
Msichana au mwanamke yeyote anayewiwa karibu tuzungumze tukikubaliana tufunge ndoa.

Mawasiliano.
1. Pm.
2. email address: wanyangithomas24@gmail.com
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sweetheart, things on the ground ain't that easy,
Darlin usije huku kwanza mdogo wangu, just pursue your dreams first..!!
Kigezo cha umri tu ndio tatizo๐Ÿ˜‚
La sivyo ungekuta mwaka huu mwishoni mnakula pilau na soda
Akilegeza tu masharti huyo namuibukia piemuni.
 
Wadada mshindwe wenyewe kugombania jimbo, mwageni sera
 
Kwa wadada watakaozama PM mjiandae kabisa maana nahisi kutakua na interview kali sana.
Kwenye panel kutakua na watu wafuatao.
1. Mtu wa NIDA na RITA kuverify umri kama n kweli
2. Profesa wa UDSM kuhakikisha kweli wewe ni ikonomiki fighter
3. Mwakilishi kutoka bodi ya masumbwi tanzania kuverify "fighter" credibility (Mandonga mtu kazi anaeza pewa shavu)
4. Katibu mkuu wizara ya kazi na maendeleo kuhakiki kuhusu "uchapakazi" wako.
5. Mwakilishi kutoka polisi ili kuhakiki kama unaweza kuandamana kuoinga chocjote umaskini included (mdau ni poverty protestant).
All in all kila la kheri kwenu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Leo kazi ipo
 
Liverpool VPN na genge lako tafadhali I tunaomba sana msipite hapa,huu uzi hauwahusu

Afadhali utoe angalizo maana wazee wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli, ndoa ni utumwa wakipita hapa watamshauri alichonacho ajitahidi amsaidie mama yake kingine ale bata asijaribu kukokota mtoto wa mtu mwingine awe mnyonyaji ngoja tuone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom