Nimeota tunasafiri kwa kupaa nikiwa na mke wangu na mtoto

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,721
Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni
tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara za maana ndani yake lakini hakukuwa na wateja huku wauzaji wengi wakionekana kuchoka na kulala

Hii ndoto ina maana gani wadau
 
Ndoto ya kupaa bila uoga ama misukosuko huashiria kubadilika kimaisha kutoka hatua moja kwenda nyingine kimaendeleo.

Kwa vile ulikuwa na familia yako basi ni maendeleo ya kifamilia.
yaani ilikuwa raha sana natamani irudie
 
Ni ishara ya mafanikio na ushindi kaza sana na usichezee pesa hata ukiwa umelewa ishi kwa akili zaidi jichanganye na matajiri, toa sadaka kidogo sana. Utakuja kunishukuru 2025
 
Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni
tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara za maana ndani yake lakini hakukuwa na wateja huku wauzaji wengi wakionekana kuchoka na kulala

Hii ndoto ina maana gani wadau
Welcome aboard
 
Back
Top Bottom