mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mke anatafutwa

    Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo. Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo; Awe muislamu mwenye kufanya Ibada. Awe na Elimu angalau Certificate au Diploma, Akiwa na Degree its even...
  2. Sesko

    JamiiForums Tanzania Muenzi mke wako

    Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi. Atashiriki katika nyakati zako nzuri, siku zako, na miaka yako. Atakuwa pamoja nawe katika furaha na shida, katika mafanikio na...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimeota tunasafiri kwa kupaa nikiwa na mke wangu na mtoto

    Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

    Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote. Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (mume)

    Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume) Sifa zangu; Jinsia- mwanamke Dini-mkristo Umri-30+ yrs Elimu-Degree moja Mtoto-Mmoja 10 yrs Ajira-Niko private sector Ninayemuhitaji awe Mkristo; 32-40yrs Awe na kazi halali Asiwe kwenye ndoa kwa sasa Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye...
  9. Portal

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo. Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali. Nimetumia muda wangu mwingi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

    Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku. Mwenye mke wake utanisamehe bure.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke Muislam

    Nahitaji Mke Sifa awe na degree ya pharmacy Awe na umri wa kuanzia 30 – 37 Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi Awe anajitambua Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo nitamwezesha kutimiza hiyo ndoto Mengine tutaongea DM.
  12. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mke)

    Mimi bado nikijana, nina miaka 25 elimu yangu ni darasa la saba ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi miaka 18/24, Awe na hofu ya mungu dini mkristo na awe na uhitaji kama wangu (ndoa) kuhusu elimu (yoyote) asiwe single mother...
  13. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Wimbo 'naheshimu madanga ya mke wangu'

    Kwani basata kazi imewashinda? Nipo kwenye basi naskia wimbo wa singeli mtu anaimba et naheshimu madanga ya mke wangu! Hivi wanetu watajifunza nini kwenye wimbo kama huu?
  14. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  15. Gus Fring

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke makini haswa

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha. Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa. Natafuta mke wa kuoa, mwenye sifa zifuatazo; ~ Umri miaka 25 kushuka chini ~ Mweupe ~ Elimu yoyote...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

    Ilikuwa ni mwishoni mwa Mwaka jana 2022. Basi kutokana na kazi nyingi za kijamii huku ikizingatiwa kuwa Taifa tulikuwa bize ktk kujenga nchi, huku wengine tukihitajika zaidi katika maswala ya kitaifa ikiwemo swala la maridhiano, katiba Mpya, mfumuko wa bei ya bidhaa, kuifungua nchi na harakati...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake. Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mke wa Rais alalamika akaunti zake za Mitandao ya Kijamii kudukuliwa

    Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii. Kupitia kusara hizo ilichapishwa taarifa kuwa Benki Kuu ya Nigeria imesogeza mbele ukomo wa kubadili matumizi ya noti za zamani za...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako ni mke na mume wa mtu ajae, mlee vyema kuokoa ndoa yake

    Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae. Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake. Kwa miaka ya kibiblia kuishi ni miaka 70,80 kwa Neema ni zaidi ya hapo. Watu uingia kwenye ndoa kuanzia miaka 23 sababu...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Aliyegendua chipsi yai haendi mbinguni;Nilipata mke wa kizungu sababu ya chipsi yai (zege)

    Kwa bongo huu msosi umesababisha mimba nyingi za utotoni,usaliti,ukimwi nk. Kama unadhani huo msosi limbwata lake ni bongo tu umekosea,haki ya nani aliyeugundua motoni moja kwa moja Miaka kadhaa ya nyuma katika kutafuta maisha nikajikuta niko nchi moja yenye wazungu wengi,nilizoeana na mama...
Back
Top Bottom