mke wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

    Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao. Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
  2. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

    Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, • Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza. • Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua athari ya tabasamu lako kwa mke wako?

    Mwanamke! Kiumbe wa kipekee ambaye wanaume wengi hawajamfahamu kiusahihi! Mwanamke, kiumbe "dhaifu" lakini mwenye nguvu ajabu! Mwanamke ni kiwanda kinachoishi! Mpe mchele, atakurudishia ukiwa umegeuzwa na kupewa jina jingine, wali! Mhuzunishe, naye atakufanya "ulie" bila kupigwa! Mwanamke...
  4. Ester505

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unachokitafuta kwa mchepuko, kuna mtu kakiona kwa mke wako

    Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa. Kazi iendeleee. Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko, lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo. Na tukumbushane tu kuwa, ukisema cha Nini wenzio wanalia wanasema watakipata lini. TULIA KWA MKEO.
  5. Moronight walker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  6. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya watu wa kuwa nao makini kuhusu mke wako ni dada zako

    Kama mwanaume ndio au miongoni mwa waliofanikiwa kwenye familia, usipokuwa makini utagombanishwa na mke wako. Dada zako watajifanya wana extra caring ya kumzidi mkeo + majungu kibao. Kuna muda ni wifu kuwa wao hawafanyiwi na waume zao unayomfanyia mke wako na wapo pia hawaoneshi caring kwa wae...
  7. blogger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

    Unamuuliza hakujibu, Shida nini hakujibu Umekosea wapi!? Hakujibu Yani yupo kama yupo tu!? Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu. Unamaliza , yupo tuu.. Yani yupo tu. Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki. Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mr. Blue, umekielewa alichokisema mke wako kuhusu Diamond?

    Bayser, umeelewa kauli ya mkeo kama nilivyo ielewa mimi ? Mke wa Blue amenukuliwa akisema; "Mimi namsapoti mume wangu kwasababu tumejenga nyumba nane kupitia muziki, kwahiyo mimi nasapoti sana kazi yake kwasababu tunafanikiwa kupitia muziki wake, muziki unalipa na una hela" "Zamani wanawake...
  9. Mkulungwa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  10. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

    Wanaume, Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone. Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae. Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na...
  11. Zirkzee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muenzi mke wako

    Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi. Atashiriki katika nyakati zako nzuri, siku zako, na miaka yako. Atakuwa pamoja nawe katika furaha na shida, katika mafanikio na...
  12. mashatiboyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliokuwa kwenye ndoa: Usifuatilie simu ya mke wako utaishi miaka mingi

    Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife. Usimpende kupita kiasi. Chukulia poa kila issues. Mwanamke yeyote duniani anatongozwa sana tu, kwa hiyo we potezea kumfuatilia wife, cha msingi usijue chochote. Kuwa busy kutafuta hela...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  16. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mazingira ambayo mke wako akizini lazima umsamehe na muendelee na maisha ya ndoa

    Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe 1. Azini ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia 2.Kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi 3.Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla...
  17. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje unapokutana na ex wa mke wako au mpenzi wako?

    How it feels to meet someone who was once in love with your wife or love, the man whom your wife/love was once madly in love with him, doing all stupid stuffs? The man who sees your wife through the dressing she has? how is the experience ? those who married single mothers are special and they...
  18. Twinawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

    Habari zenu ndugu zangu. Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka. Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo. Simjui ndugu au rafiki yake yoyote...
  19. Protector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  20. nyboma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela. Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can *** any woman around you” maana...
Back
Top Bottom