Mr. Blue, umekielewa alichokisema mke wako kuhusu Diamond?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Bayser, umeelewa kauli ya mkeo kama nilivyo ielewa mimi ?

Mke wa Blue amenukuliwa akisema;

"Mimi namsapoti mume wangu kwasababu tumejenga nyumba nane kupitia muziki, kwahiyo mimi nasapoti sana kazi yake kwasababu tunafanikiwa kupitia muziki wake, muziki unalipa na una hela"
"Zamani wanawake walikuwa wanampenda sana Mr. Blue, yani alikuwa wa moto kipindi kile kama alivyo Diamond Platnumz sasa hivi, ila namshukuru Mungu saivi katulia"' amesema Mke wa Mr.Blue. "

Elewa vizuri hiyo sentensi iliyo kolezwa. Ikumbukwe pia, blue ana bahati mbaya sana na Diamond kwa wanawake anao toka nao kimapenzi. Na haya sio maneno yangu bali ni maneno ya Blue mwenyewe akifanya mahojiano kwenye sporah tv show mwaka 2013, ambapo alihoji " Diamond ana nini? mbona kila demu ninae toka nae na yeye anatoka nae?

1. Blue alitoka na Wema, Diamond akatoka na Wema.

2. Blue akatoka na Naj, Diamond akatoka na Naj pia.

3. Kituo kinacho fuata? nipo nimekaa pale mniite GENTAMYCINE

blue.jpg
 
Mboga saba.

-Kaveli-
mboga saba amenukuliwa akisema " Zamani wanawake walikuwa wanampenda sana Mr. Blue, yani alikuwa wa moto kipindi kile kama alivyo Diamond Platnumz sasa hivi,"

ikumbukwe pia, blue ana bahati mbaya sana na Diamond kwa wanawake anao toka nao kimapenzi. Na haya sio maneno yangu bali ni maneno ya Blue mwenyewe akifanya mahojiano kwenye sporah tv show mwaka 2013, ambapo alihoji " Diamond ana nini ? mbona kila demu ninae toka nae na yeye anatoka nae?

1. Blue alitoka na Wema, Diamond akatoka na Wema.

2. Blue akatoka na Naj, Diamond akatoka na Naj pia.

3. kituo kinacho fuata? nipo nimekaa pale mniite GENTAMYCINE
 
mboga saba amenukuliwa akisema " Zamani wanawake walikuwa wanampenda sana Mr. Blue, yani alikuwa wa moto kipindi kile kama alivyo Diamond Platnumz sasa hivi,"

ikumbukwe pia, blue ana bahati mbaya sana na Diamond kwa wanawake anao toka nao Diamond kimapenzi. Na haya sio maneno yangu bali ni maneno ya Blue mwenyewe akifanya mahojiano kwenye sporah tv show mwaka 2013, ambapo alihoji " Diamond ana nini ? mbona kila demu ninae toka nae na yeye anatoka nae?

1. Blue alitoka na Wema, Diamond akatoka na Wema.

2. Blue akatoka na Naj, Diamond akatoka na Naj pia.

3. kituo kinacho fuata? nipo nimekaa pale mniite GENTAMYCINE
Blue alitoka na K-lynn pia
 
Ongele mambo ya freemason achana na mke wa blue

Freemason wanakosaje sasa kwa mfano.

kwa taarifa yako, when Mrs Blue said that " Zamani wanawake walikuwa wanampenda sana Mr. Blue, yani alikuwa wa moto kipindi kile kama alivyo Diamond Platnumz sasa hivi, ila namshukuru Mungu saivi katulia" she was subscosnciously saying that " Diamond amechukua nyota ya Mr. Blue"

Na huo ndio ukweli wenyewe, ni siri ya wazi " open secret" kwenye korido za vilinge vizito vizito jijini Darusalama, kwamba Diamond aliiba nyota ya Blue.

Diamond hakumfuata Wema Sepetu in vain. Aliifuata nyota ya Mr. Blue kupitia Wema Sepetu. The same was kwa Naj.

And for all those slow motherfantas, Diamond alikuwa inspired na Blue kwa asilimia 100.

Sikiliza kwa makini wimbo huu wa kwanza wa Diamond aliofanya pale kwa J.SILK kariakoo. ni Blue mtupu.

Nilishawahi kuandika uzi kuhusu Diamond kuwa inspired na Blue
 
achana na imani za nyota,
kila mtu ana muda wake
 
Unaweza kuwa sahihi
 
Sio kweli kwamba kila demu alotoka na byser mond alimbandua!
Hizo ni hoja za kuokoteleza tu aka kuungaunga. Sometimes hawa mademu walikuwa wanajishobosha na kujishebendua tu kwa hawa wasanii simply kutafuta kick na kuuza sura.
And BTW dogo Blue anaishi kigentleman zaidi kuliko dogo mond haijalishi vipato vyao. So kama fikra zako zinakutuma kwamba huyo mke wa Blue atamegwa na Mond huo utakuwa ni mwendelezo wa mambo ya kikekike kama jinsi walivyofanya watangulizi wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom