mke wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Ni bora umuoe huyo msaidizi wa ndani kama mke wako kamuachia majukumu

    Ukiona kazi nyingi za nyumbani zinafanywa na beki tatu (mfanyakazi wa ndani) kama kukufulia nguo, kuzipiga pasi nguo zako, kufanya usafi wa nyumba, kukupikia chakula, kukupokea unapotoka katika miangaiko, kuwaandaa watoto, kuwafanyia usafi watoto, kuweka mazingira ya nyumba yapendeze n.k Muoe...
  2. Superbug

    Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
  3. K

    Ni kosa kubwa mno mwanaume kukiri kosa la usaliti kwa mkeo

    Wanaume wenzangu nasisitiza iwe jua au mvua usiku au mchana iwe bara au visiwani usijaribu kukiri kosa la uchepukaji kwa mkeo hata siku moja. Eti anakuta tu sms kwenye simu yako unakiri kweli umechepuka mwanaume wa wapi wewe kukiri kwako kunamthibitishia na kunampa uhalali wa yeye kuchepuka ili...
  4. fungi06

    Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

    Ciao jf Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo Rejea Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi...
  5. mzee wa kasumba

    Filisika tujue tabia ya mkeo

    Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo. Inafahamika kuwa mzee wa kasumba wiki kadhaa zilizopita alifukuzwa kazini kama mbwa na kuanza kutangatanga na njia, jambo ambalo...
  6. Ethan Cruz

    Kumpenda mke wako inamaanisha nini?

    1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda sana kusikilizwa na waume zao. 2. Msifie pale anavyofanya jitihada ya kuwa na muonekano mzuri. Pale...
  7. Dumuzii

    Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu...
  8. Kifaru86

    Ni mambo gani muhimu ya kujiandaa baada ya mke wako kujifungua?

    Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo mtu mzima majukumu ndo haya. So nisaidie maswala muhimu kipindi kajifungua.
  9. Redpanther

    Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
  10. genau

    Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

    Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza. Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi? pia soma: Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe...
  11. JITU LA MIRABA MINNE

    Mliooa bikra tunaomba ushahidi kuwa mke wako kweli ametulia siku zote hajawahi kuliwa? Je, una amani?

    Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa. Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu karibu mezani. ==== Mchnago wa Mdau
Back
Top Bottom