mke wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

    Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma. Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma. Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

    Nawasanua wana musije kusema sijawaambia. Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mume tahadhali usiache kumchunguza mke wako hasa kipindi cha ujana. Utanishukuru.

    Kuna misemo mingi katika jamii ikihamasisha wanandoa waishi tu kwa kuaminiana, watu wasichunguzane ili ndoa zao zidumu muda mwingi. Kama kuna kirusi kimeingia katika ndoa kupitia mke wako ukichelewa kukijua na kukiondoa mapema umekwisha. Wanawake nawajua vyema, ni waelewa na wanakanyika lakini...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  6. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuambatana na mke wako Kwa watu, haimaanishi una mapenzi ya dhati kwake

    Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji Hapo mwanaume unaonekana huna...
  7. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

    Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro. Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana. Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto...
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapogundua unachapiwa kwa asie mke wako wala usimumize mchapaji, Mzigo ni mali yake na anaamua zamu hakuna anayemmiliki.

    Kama mwanamke hujamlipia mahari, kwao hawakujui ama mnajuana juu juu, hujakabidhiwa uishi nae, n.k. hasira za kulipiza kisasi unazotoa wapi kwa mali isiyo yako ???
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

    Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo. Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mke wako anakudharau jua tu haumfikishi kileleni

    Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao. Kama una mke unampa huduma zake zote za msingi lakini anakudharau na wakati mwingine hata kujibishana na wewe jua tu...
  11. Twilumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba, mpenzi au mke wako ali wahi kukusitiri dhidi ya fedheha gani iliyokuchochea kumpenda na kumthamini zaidi?

    Katika maisha kuna mambo mbalimbali tunapitia kama binadamu, mengine ya furaha lakini pia mengine ni ya huzuni na ya kutisha.... Hivi ulishawahi kujikuta katika hali, kitendo au mazingira ya fedheha na aibu sana, na haukua na namna ya kuepuka fedheha hiyo, mara ghafla mpenzi, mchumba au mke...
  14. fareed uziel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma boyfriends wa mke wako mtarajiwa wapo kwenye group lako la harusi na wanachanga

    Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana. Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea kua mi ndio naolewa ila urafiki wetu ubaki(kwa akili za wanawake) so sababu na wanaume wa kisasa wapo...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mdau kumnunulia mke wako simu na kumpangia matumizi unaionaje?

    Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu. Ujanja au ushamba?
  16. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

    Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo, dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
  17. Innovator97

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mpende mke wako

    UMEOA? Jivunie mkeo/mwanamke wako, 'Feel Proud Of Your WIFE' na kamwe usione hatari kumsifu mbele ya Macho yake, usijiulize mara MBILI kusema "NAKUPENDA MKE/MPENZI WANGU MZURI" Tambua, amefanya maamuzi ya kusafiri na wewe kwenye safari ndefu ya maisha; hakuona mwingine huko pembeni ambaye...
  18. data

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

    Yani. Uko On point kila mahala. School fees Family and relatives support Daily chores..domestics upo. On Bed even better.. Yani you are perfect. Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  20. Execute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wako ana bosi wake?

    Kwahiyo boss wake akimpa maelekezo au akitaka asafiri mume inabidi atulie tu.
Back
Top Bottom