mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kocha wa Yanga, Prof Nabi asaini mkataba mpya Yanga

    Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) usiku huu imetangaza kumsainisha mkataba mpya Kocha wao Nasredeen Nabi Prof Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili utakaomuweka Yanga mpaka mwaka 2024 Nabi kusaini mkataba huo mpya anamaliza uvumi uliokuwa unaenea kuwa...
  2. Ushawahi ona mkataba ulioandikwa kwenye nguo?

    Anaandika Thadei Ole Mushi AKILI ZA TABIA YA KITROPIK HAZINA MUDA WA KUFIKIRI. Na Thadei Ole Mushi. Kitaalamu ipo hivi. Akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi zenye tabia ya nchi za Kitropik huwa hazina muda wa kufikiri sana tofauti na akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi za Jangwa au...
  3. Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

    Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli.... Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
  4. Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

    "Zile zama za kuwa na mkataba sare sare maua zimepita. Kwa miaka ya hivi karibuni Simba tumewekeza vya kutosha ili kuhakikisha brand yetu inakua,"- Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally. “Process ya mdhamini mpya tulianza tangu mwaka jana. Tumepokea boss nyingi za kutaka kuwa...
  5. P

    Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  6. Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

    Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa...... To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in. Algeria, Niger and Nigeria signed a...
  7. Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

    Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75. --- Mabingwa wa...
  8. M

    Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

    Hatimaye Ukraine na Urusi walifikia makubaliano ya kuruhusu ngano ya ukraine kusafirishwa kwa kutumia bandari ya Odessa. Ukraine walivyoona hivyo, wakaamua kupeleka kwenye bandari hiyo meli iliyokuwa na mitambo ya kurushia makombora ya HIMARS yaliyotoka Marekani. Walifikiri kuwa bandari ya...
  9. Mnafahamu kwamba Deus Kaseke amesaini mkataba na Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Nimechelewa kuwafahamisha lakini naamini baadhi ya wapenzi na mashabiki wetu wanafahamu kuwa tumemsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka klabu ya Yanga SC, Deus Kaseke "Mwaisa", kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Big Stars. Kwa wasiofahamu, taarifa iko hivyo na tayari Mwaisa...
  10. Wadau wa biashara waiomba serikali kutoipa TICTS mkataba mpya

    WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya...
  11. Tanzania yavunja mkataba wa kuiuzia korosho kampuni ya Kenya

    Serikali ya Tanzania imesema mkataba wake na kampuni ya Kenya ya kununua korosho tani laki moja umesitishwa. Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Joseph Kakunda , wakati akihojiwa na gazeti la Tanzania la "The CITIZEN" na kusema kuwa kampuni hiyo ya Indo Power wameshindwa kufuata masharti...
  12. Rais Hussein Mwinyi amfukuza Mkandarasi, asitisha Mkataba wake

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameifukuza Kampuni ya Ujenzi ya Associated Investment Service Ltd ya Dar es Salaam kufanya kazi Zanzibar kwa kile alichodai haina uwezo. Pia, alisitisha mkataba wa mkandarasi huyo wa ujenzi wa Shule ya Mtopepo katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi A...
  13. Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Sasa una majaji wamestaafu wanafanya kazi kwa mkataba? Nchi haina wajuzi wa sheria?

    Namuuliza tu Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Leo ana majaji wamestaafu wanapewa mkataba waendelee kuhudumu? Hawa si ndio watakuwa na utii kwa mtu anayewaongezea mkataba? Waende kupumzika SSH ateue watu, wako wengi, na mama anajua kuchagua
  14. Singida Big Stars tumemsajili Kipa wa Taifa, Metacha Mnata

    Watu wa Soka, Leo ninafurahi kuwajuza kuwa Mlinzi Imara kutoka Timu ya Taifa #TaifaStars asiye na presha na mechi ndogo wala kubwa, Metacha Mnata, ametuhakikishia kuwa lango letu litakuwa salama kupitia uzoefu wake. Tayari tumeinasa saini yake na atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili katika...
  15. Korea Kaskazini yakosoa mkataba wa kijeshi wa Marekani na washirika wake, wadai wanatengeneza NATO ya Asia

    Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake. Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
  16. Habib Kyombo ameomba kuvunja mkataba, tumemkubalia

    Watu wa Soka, Taarifa iwafikie kuwa Mshambuliaji wetu Habib Haji Kyombo yuko huru kujiunga na timu yoyote baada ya kuamua kuvunja mkataba na timu yetu. Kila kitu kimeenda sawa na kupitia yeye tunatarajia kujenga mahusiano imara na klabu atakayoenda. Aidha, tutatoa taarifa zaidi kuhusu...
  17. Simba yatangaza rasmi kumaliza mkataba na SportPesa, mdhamini mpya mbioni kutangazwa

    Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine. CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni...
  18. TRC wavunja mkataba na Kampuni iliyopewa tenda ya kutengeneza Vichwa vya Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limevunja mkataba na kampuni ya Eurowagon ya nchini Uturuki baada ya kushindwa kukamilisha ujenzi wa vichwa viwili vya treni ya umeme na mabehewa 30 ya abiria. Kwa mujibu wa mkataba huo, vifaa hivyo vilitakiwa kukamilika Novemba 2021 lakini kwa kuwa Eurowagon...
  19. Bila mkataba na kampuni ya uwindaji Ortello kuvunjwa hapatakua na amani Loliondo

    Kampuni ya ortello walipewa eneo la uwindaji loliondo mara ilipoingia awamu ya pili ya mzee ruksa. Baada ya kupewa eneo hilo kampuni hiyo ya UAE yenye wamiliki toka familia ya kifalme tabia yao ikawa kama wamepata koloni. Pamoja na kwamba wameweza kuepa kutajwa na vyombo vya habari kama zamani...
  20. B

    Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    11 Juni 2022 Dar es Salaam, Tanzania Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia yaani LNG (Liquified natural gas) ambao umeshuhudia na Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…