mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa CCM wamtangaza Makonda siku ya kusaini mkataba na DP World

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetumia mbinu za kijasusi kwa kusaini mkataba kati ya Bandari ya Darisalama na muwekezaji dp world kutoka dubai na siku hiyo hiyo kutoa taarifa kwa vyomba vya habari kumtangaza paul makonda kuwa katibu wake wa itikadi na uenezi Lengo la kuunganisha matukio hayo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

    Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa. Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema. Naye...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je, Boniface Mwabukusi kuvuliwa Uwakili?

    Njama za kihuni
  4. Rangooo

    JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo...
  7. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

    Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua. Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

    Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo. Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi. Wananchi walitaka maboresho ya...
  11. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani TEC kupinga mkataba wa bandari?

    Serikali ilisema inasikiliza maoni ya watanzania wote kuhusu mkataba wa bandari na viongozi wa dini walikuwa na nafasi kubwa ya kusikilizwa maoni yao Ikumbukwe Kanisa katoliki walitoa waraka wa kupinga mkataba wa bandari wiki sita lakini leo hii tumewaona wakishiriki pamoja na serikali katika...
  12. Keshoyangu

    JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho ya mkataba na DP world serikali ichukue hatua kwa wote waliotuingiza mkenge

    Serikali imekiri uwepo wa vipengele vibovu na wamekubali kukosolewa na kufanyia Kazi maoni ya wengi.Kuishia kurekebisha haitoshi kwa masilahi mapana ya walipakodi. KWANINI wale wote waliohusika kuanzia watoa hoja/wanasheria/washauri /wabunge ambao ndio wapitisha madudu na wengine wote...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  16. David16

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba

    Habari mimi ni dereva natafuta gari ya mkataba ili nijiajiri Ahsante, 0689296294
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

    Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104 Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7
  18. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Dereva ninahitaji Bajaji Mkataba

    Habari. Mimi ni dereva wa bajaji. Nina leseni ya udereva Nipo Dar es Salaam. Ninahitaji Bajaji ya mkataba. Kwa mwenye bajaji tuwasiliane kwa ajili ya maelewano. Asanteni!
  19. MBWARI

    JamiiForums Tanzania Natafuta lori la mkataba

    Habari, Mimi ni mjasiriamali ninajishughulisha na shughuli za uvunaji wa mazao ya msituni. Ninahitaji lorry kipisi kwa ajili ya shughuli za msituni, hivyo Kama Kuna mtu anaweza kunikopesha kwa makubaliano maalum nitashukuru
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatumia nguvu kubwa ya Polisi kutaka kuzuia kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari

    Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo. Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
Back
Top Bottom