mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watanzania wanaounga mkono uwekezaji wa bandari bila hata kuhitaji maboresho ya mkataba; tuwataje may be wapo sahihi

    Kwa mimi mtu niliyemwona anapiga chapuo ya uwekezaji wa bandari na hataki kabisa kusikia kwamba mkataba una shida ni mmoja tu. Naomba nimtaje then mtatusaidia kuwafahamu wengi kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu zetu na kwenu vijana kumbukumbu zenu na watoto wenu. 1. Dr. Tulia Ackson- huyu mkuu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli wewe ni mzalendo kwanini unaunga mkono mkataba wa DP World bila marekebisho?

    Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho? Sababu je ni hipi hasa 1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya? 2. Haujauelewa mkataba? 3. Umenufaika binafsi? 4. Unajali siasa kuliko nchi? 5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi? Je, kwanini...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ubinafisishaji wa Bandari zetu Muendeshaji atapata faida kubwa kuliko Serikali

    Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga Mkataba kati ya DP World na Serikali wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono

    Habari wana JamiiForums. Rejea kichwa cha habari chahusika. Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania. Kwa maoni yangu, naona wale wanaopinga mkataba huu wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono. Wale wanaopinga...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mambo saba (7) ya kufanya ili kuuzima moto wa mgogoro unaosababishwa na mkataba wa DP world na Tanzania

    Mgogoro unaozunguka mkataba kati ya DP World na Serikali ya Tanzania umezua hisia na mijadala katika jamii ya Kitanzania. Hili ni suala linalohitaji kushughulikiwa kwa umakini ili kuepuka athari za kudumu kwa taifa letu. Kwa kuwa kuna maoni tofauti na hisia kutoka kwa wananchi, serikali, na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama huu mkataba (IGA) ulikuwepo zaidi ya mwaka, HGA pia ipo zaidi ya mwaka sasa, kinachofanyika ni maandalizi muafaka ili uanze HGA iingie kazini!

    Kuna hoja dhaifu kuwa kwa kuwa IGA katika mkataba wa bandari una matatizo, basi tuje tuwe macho kwenye maandalizi ya HGA ili yale madhaifu ya kwenye IGA yarekebishwe na HGA. Kwanza kwa faida ya baadhi yetu ni kwamba HGA (Host Government Agreement) ni makubaliano ya msingi kati ya mwekezaji wa...
  7. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Mongela kwa Rais Samia: Figisu za bandari ni agenda za wanaume kukuangusha

    Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru. Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa BANDARI dhidi ya DP WORLD hautaongezwa wala kupunguzwa herufi moja

    Habari! Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka ule mkataba. Hapana. Hajaongwa hata Senti. Hili suala ni spiritual manipulation (shinikizo la kiroho)...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Mzalendo amtuhumu Chongolo kuwa chawa wa DP World

    Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi. Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  11. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Nichangie kuhusu DP World / sio mkataba

    Naomba nichangie machache kuhusu Bandar / DP would . hoja zimekua nyingi na serikali haijaelimisha wachangiaji wengi maana halisi ya ukodishwaji wa bandari. Naomba nieleweke Bandari haiwezi kuuzwa kwa maana yoyote ile, inakodiswa kwa msimamiaji. Bandari ni sehemu ya mipaka ya Inchi , huwezi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Yah: Mkataba wa IGA kati ya Dubai na Serikali ya Tanzania; serikali iitishe kura ya maoni

    Siyo siri, Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali kama wananchi juu ya huu mkataba ambao serikali ilisha usaini mwezi february 2022 na kuja kuridhiwa na Bunge 30 Juni 2023. Siyo siri Kuna wakati hoja zetu wananchi zinavuka mipaka hata kuutweza utu na wafhifa wa Rais...
  14. Patriot

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji. Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
  15. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Katoliki kuhusu Mkataba siyo siasa, ni wajibu wa kiuchumi

    Kwanza lazima tuelewe kwamba Mkataba siyo sera ya kisiasa ya cahama chochote. NI suala la kiuchumi. Hivyo kuujadili siyo siasa, ni mjadala wa kiuchumi. Kama ni uchumi nani asiyefahamu kwamba Katoliki ni moja ya madhehebu yanayotoa mchango mkubwa kwenye sekta za kiuchumi, Afya na Elimu...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni kigeugeu na unafiki wao. Wanasiasa wakisifiwa na viongozi wa dini hawasemi dini imeingizwa kwenye Siasa...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanaozunguka nchi nzima kushawishi umma ukubaliane na mkataba mbovu wa DP World ndio hao hao watakaosema mama anaupiga mwingi tukiachana nao

    Huwa najaribu kujiuliza, hawa wenzetu wameumbwaje? Sijawahi kupata jibu. Akili zao zinafanya kazi vipi, huwezi kuelewa. Mkataba wa DP WORLD ni mbovu, na unatunyonga sisi wenyewe. Tunapiga kelele vifungu vibovu virekebishwe, lakini CCM wamekuwa wakitumia kodi zetu kuzunguka nchi nzima wakisema...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama tungetakiwa tupige kura juu ya mkataba wa bandari

    Wanangu wapendwa, Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike. Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  20. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ndiyo nchi pekee duniani yenye mkataba wa IGA na Dubai Emirate

    Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai. Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South...
Back
Top Bottom