mkaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Watanzania milioni 60 tunaamka asubuhi kila siku tunakula chakula kinachopikwa kwa mkaa na kuni is a Terrible.Ni uharibifu mkubwa wa mazingira

    Weekend ikiwa inaishia nawasalim. Wakati mjadala wa bandari ukiendelea basi tusitingwe sana kiasi cha kusahau mambo mengine muhimu Ukiona unakula umeshiba ujue kuna mti umedondoka uko porini na kufanya idadi kupungua na kufanya nafasi tupu kuonekana ambayo hatutegemei kama itazibwa na mti...
  2. H

    Serikali msizuie mkaa, kuni mkitaka misitu ipone ni lazima bei ya gesi ishuke angalau kujaza iwe 10,000

    Nawasalimu ..Tuchepuke kidogo na bandari halafu turudi. Hakuna namna misitu itakwisha tu bila kuweka mbele kipau hiki cha nishati..madhara yake hatuwezi kuyaona leo na utakuta ikifika kiangazi ndio tunaanza kulialia na mvua tunaanza vikao na mikutano ya kujadili hali ya hewa..mvua zikianza...
  3. MK254

    Video: Wanajeshi wa Urusu waunguzwa kwa makombora kama mkaa

    Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi???
  4. S

    Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa! Kwasasa napotaka kuanza...
  5. GENTAMYCINE

    Muumini Mgonjwa wa Mtume Mwamposa afia katika Kibanda cha Mkaa Kawe Ukwamani

    Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
  6. Mzalendo Uchwara

    Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    "Systemic problems requires systemic solutions" Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao. Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
  7. Mtemi mpambalioto

    January Makamba usitumie nguvu kukataza Mkaa. Bei ya Gesi ndio itaamua Matumizi

    Waziri Makamba mie nakuomba sana huu mtego wa kulazimisha matumizi ya Gesi ya kupikia wakati hata sio Raslimali ya nchi yetu yaani inaletwa kutoka nje ni hatari sana kwa Ustawi na Usalama wa Taifa letu. Ingekuwa hiyo gesi tunachimba wenyewe na tungeweka hata bei ya chini sana ambayo ingewafanya...
  8. A

    SoC03 Fursa katika kutunza mazingira na kupunguza matumizi ya kuni na mkaa

    Mazingira ni jumla vitu vyote vinavyotuzunguka vikiwemo viumbe hai na visivyo hai.mfano wa viumbe hai ni pamoja na binadamu ,mimea na wanyama visivyo hai ni pamoja na mawe magari nyumba n.k Mazingira hayo pia yamegawanyika tena katika sehemu mbili; (1)mazingira ya vijijini (2)mazingira ya mijini...
  9. J

    Serikali: Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia Januari 2024 linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na sio Watu wote

    Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote. Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo alisema kuanzia January 2024 itakuwa ni marufuku mtu yoyote kutumia kuni na Mkaa kama nishati ya...
  10. ChoiceVariable

    Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  11. On Duty

    Shemeji yangu wa kike anakula sana mkaa

    Poleni na mihangaiko ndugu zanguni. Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa? Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa? Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana...
  12. Brain Kingdom

    Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

    Wasalaam! Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii...
  13. Wordsworth

    Katazo la Mkaa

    Ilirushwa habari kwenye TBC Aridhio tarehe 9 Novemba 2022 ya mkuu wa mkoa wa Songwe Ndugu Waziri Kindamba akipiga marufuku uchomaji wa mkaa katika mkoa wake. Haya. Unamwambia mwananchi asitumie mkaa, atatumia nini? Tuwe na uhalisia tuache kufanya maamuzi yasiyotekelezeka. Maandalizi ya nishati...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Tunalalamika mvua hazinyeshi na maji yanakatika tazama huu msululu wa mkaa

    Mkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam. Je tutuwezaje kupona ukame? Nishati safi ndio chanjo pekee.
  15. BARD AI

    DAR inatumia 50% ya Mkaa wote unaozalishwa nchini

    Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi. Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Mjadala mkubwa wa kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia (gesi na mkaa wa mawe)

    Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022. #pikia #gesi #nishati #safi #LPG #mkaa #wa #mawe #acha #kuni #mkaa #wa #miti #tunza #misitu
  17. Meneja Wa Makampuni

    Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

    Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
  18. BARD AI

    Makamba: 89.7% ya wananchi bado wanatumia Kuni na Mkaa kupikia

    Akizungumza leo Oktoba 12, 2022 jijini Dar es Salaam Waziri wa Niashati, January Makamba amesema, “Kupika ni moja ya tukio pekee linalounganisha watu wa hali zote kuanzia wa juu, kati na chini, lakini Watanzania wengi hawajui na wala hawahoji aina ya nishati inayotumika katika kupika vyakula...
  19. JOTO LA MOTO

    Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

    Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi. Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar. Ninaamini...
  20. Sildenafil Citrate

    Tahadhari za matumizi ya jiko la mkaa

    Haushauriwi kujifungia chumbani ukiwa unalala au wakati wa kupika chakula wakati unatumia jiko la mkaa. Aina hii ya jiko huzalisha gesi yenye sumu inayoitwa Carbon monoxide (CO) ambayo huufanya mwili usipate kiasi cha kutosha cha hewa safi ya Oxygen inayohitajika kwenye upumuaji. Ikiwa...
Back
Top Bottom