mkaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  2. mwanateknolojia

    JamiiForums Tanzania Hizi kodi na tozo za mkaa ni kodi za dhuluma Serikali iziangalie upya

    Niende moja kwa moja katika maada yangu. Nina amini kuwa humu ndani ya JF kuna watendaji wa serikali wakiwemo wa wizara ya Maliasili na utalii na pia wa wizara ya fedha na wa TRA. Ningependa sana na wale wote mlio kirani Mhe. Rais na Makamu wake muwafikishie kilio hiki. Kiukweli biashara ya...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Rorya apiga marufuku uchomaji mkaa

    MKUU wa Wilaya ya Rorya, Simon Odunga amepiga marufuku uchomaji mkaa wilayani humo na kuonya serikali itawachukulia hatua kali baadhi ya wazazi wanaotumikisha watoto wadogo katika shughuli hizo. Mkuu huyo wa wilaya ametoa agizo hilo wakati wilaya hiyo ikianzisha mkakati maalum wa utunzaji...
Back
Top Bottom